NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini.
Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki.
Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama...