Kwako Dada Halima Mdee.
Sikupi pole kwa misukosuko iliyokukuta kwa sababu naamini unaistahili kutokana na kitendo ulichokifanya.
Nitakuwa mnafiki kujifanya nakuonea huruma, wakati kiukweli kabisa sikuonei huruma hata kidogo, maana naamini kuwa tamaa ya fedha kuliko Kuheshimu imani ya wananchi...