Kama inavyoelezea hapo juu,
Uwe na ama Comprehensive au Third part Insuarance, ama umegonga au umegongwa, kutoa taarifa kwa haraka Kwa Kampuni ya Bima ni jambo la msingi sana.
Mfano wa Barua hiyo, ni kama hii niliyokuambatanishia.
Unaweza kufuatilia jambo lako wewe mwenyewe, au ukatumia...