biashara

  1. Ushauri juu ya biashara ya kuuza na kununua vitu used (furniture na electronics)

    Habari wadau wa JF kama mada inayojieleza hapo.. Natamani kuanza huu biashara kwa wenye uzoefu nayo nipeni ushauri nini vya kuzingatia
  2. Biashara ya choo baada ya kustaafu utumishi wa umma

    Wadau salama, CCM hoyee. Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo. Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma. Anaitwa mzee Shayo, anasema yeye anataka hela yake akishastaafu ajenge at least matundu 30 ya vyoo hapa mjini sehemu tofauti...
  3. The dark side of business

    Hakuna shule hakuna chuo utafundishwa kuhusu dark side of anything,Kuna njia mbili tu za kujua wasichokijua watu wengi,njia nyepesi zaidi ni kujua kupitia shuhuda za watu waliopita kwenye kivuli cha mauti na wakatoka salama na njia ngumu zaidi ndio Kama niliyopitia Mimi,i dip my feet into the...
  4. Biashara ni uchawi

    Mambo vipi wakuu. Wewe umeweka mtaji wako wa milion 10 dukani kwako. Jirani yako ameweka mtaji WA milion 30. Unaamua kwenda Kwa mganga alafu mganga baada ya kukuchekia Ramli yako anakwambia njoo na jogoo mwekundu na Nazi Saba kwajili ya kufungua. Mwenzio anaenda Kwa mganga anaambiwa inabidi...
  5. G

    Hakuna kitu kinauma kama kuona mtaa uliokulia nyumba nyingi zimefanywa kuwa maduka, biashara, n.k.

    Kuna maeneo ya makazi tuliyowahi kukulia yaliyokuwa yanawaweka watu pamoja huwa yanaanza kupoteza asili yake kwa kugeuzwa kuwa maeneo ya biashara, unakuta majirani karibu wote uliowahi kuwajua wamehama wameuza plot, mtaa umejaa fremu, magorofa, bar, lodge, gereji, magodauni, n.k. Nyumba za...
  6. Kariakoo yote sasa kufungwa kamera ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24

    Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24. Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
  7. M

    Wazo la biashara rahisi

    Imekua nikama uvivu ama kutojitambua kwa watu wengi juu ya kuwa na wazo la biashara lakini kuianzisha biashara yenyewe inakua mthihani kweli kweli na hii kasumba sijui ni kwa biashara kubwa tu au hata ndogondogo?
  8. M

    Naanzaje biashara ya kuuza vitu kwa mnada kama Chris's Lukosi, biashara za Ramsek?

    Habari wakuu, Nahitaji kufanya biashara yakuagiza vitu tofauti na kuuza kwa mtindo wa mnada kama wafanvyo hao kina Chris lucos, biashara za ramsek
  9. K

    Unaweza kupata wazo la biashara kupitia njia hii ambayo naifanya hapa. Ikawa faida kwako na kwangu pia

    Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp? Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
  10. Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  11. Jinsi ya kuanza biashara ya kuuza Maua bila mtaji

    Jinsi ya Kuanza na Kufanikiwa Kuuza Followers Bila Mtaji – Mwongozo wa Hatua kwa Hatua Kabla ya kuendelea kusoma makala hii, hakikisha unabonyeza REPOST pale juu. Tayari? Chukua popcorn zako na ufuatilie mpaka mwisho, hatua kwa hatua! Safari Yangu ya Kuuza Followers Nilianza biashara ya...
  12. Experience ya miaka 15 ya kujiajiri: Nadiriki kusema biashara ndio sure way onto true riches

    Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara ndio sure way onto true riches,hata ukisikia kuna mwanasiasa tajiri behind the scene Kuna business...
  13. O

    Nawekeza milioni 100 baada ya miaka 10 nipewe milioni 300 Yani 200 faida, je hii ni sahihi kama ntaiweka kwenye Biashara faida inakuwaje after 10 yrs

    Ndio wadau wawekezaji nimeona hii fursa je ni positive au negative ? Wataalamu wa biashara na masoko ya hisa njooni
  14. Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  15. Tanzania yaongoza katika Biashara Afrika Mashariki

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
  16. Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  17. M

    DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

    Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam. Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
  18. Hivi kuna watanzania wanaoishi na kufanya biashara India?

    Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
  19. E

    Wazo la biashara (alfajiri)

    Jambo, Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am) Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana Karibuni kwa mawazo
  20. Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

    Ukiachana na hii video.., 1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku. 2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…