Habari Wadau,
Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili.
Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...