bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

    Salaam wakuu! Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania. NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo" Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
  2. K

    Hakuna sehemu wanazolipa mishahara mishahara mizuri hapa Tanzania kama migodini na Depot za mafuta

    Hakuna mahala ndani ya nchi hii wanapolipa vizuri na kujali wafanyakazi wao kama sehemu tajwa hapo juu.
  3. Kwa Bongo hii ukiajiriwa ni sawa umesaini mkataba wa kuwa maskini daima

    Hello! Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi? Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada, umeme, ndugu, michango, dharura, mavazi n.k jibu linakuja NEGATIVE. Wengine wanaamua kukopa walipwe 33%...
  4. Wasanii 15 kutoka nje walikuja bongo kufanya show

    WANYAMWEZI 15 WALIODONDOKA NCHINI KUUPA TAFU MUZIKI WETU. Hawa hapa wasanii wa nje waliowahi kuja nchini ni kubwa mno, lakini leo tunapenda tuangalie japo wasanii mashuhuri tu kutoka nchini Marekani, waliowahi kuja nchini na kufanya shoo kabambe katika majukwaa yetu, hivyo kwa namna moja au...
  5. Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  6. Harakati za Baba Levo kwenye muziki wa Bongo Fleva

    KUMBUKIZI YA WASANII MKOANI KIGOMA. Cliton Revocatus Chipando a.k.a Baba Levo wa kwanza kutoka kushoto enzi za ubarobaro wake, picha ya kwanza akiwa kijana mdogo kabisa, picha inayofuata akiwa kwenye show na kundi lake la OBD & GAZ akiwemo Kijukuu Zero Sifuriii ooh, huyu Kijukuu Zero Sifuri...
  7. Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  8. Watu wa Mpira Bongo jifunzeni Kifaransa. Mtaendelea kuaibika mpaka lini?

    Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima. Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa Mpira, waandishi wa habari na makocha wetu, lazima wajue pamoja na kuujua Mpira, lakini mafanikio ya...
  9. Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  10. Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

    Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
  11. G

    Ni kwanini K Lyn hakupata heshima anayostahili kwa mchango wake mkubwa kwenye Bongo Flava industry?

    Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa. Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !! Zifuatazo ni hits zake 5...
  12. Nani kubeba tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa Bongo kati ya mafahari hawa?

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Wimbo bora wa taarabu...
  13. Bongo fleva top 5 yangu ya muda wote

    Baadhi ya nyimbo zinakuwa zina capture moments...yaani nyakati Fulani hivi ...na mood ya Taifa au ya walio Wengi wakati huo... 1. Nipe Tano - Daz nundaz.. Huu Wimbo unawakilisha nyakati ..kama birth hivi ...ndo kwanza Taifa linapata TV special Kwa bongo flava na vijana ...Nani angejua channel 5...
  14. Chemsha Bongo: Mpira umetoka kwa mtoto namba ngapi hapa?

    Twende kazi jamaa angu!
  15. M

    Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
  16. Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

    Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni, Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati, Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu...
  17. Utapeli wa wasanii wa bongo movie: Diamond ni mhanga na aliwasema waziwazi

    Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
  18. Imetimia miaka 19 tangu Wasanii wa Bongo Fleva, Complex na Vivian walipofariki dunia mwaka 2005, unawakumbuka kwa ngoma gani?

    Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
  19. Kama tasnia ya Bongo muvie ingekuwa na wasomi

    Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu. In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na macho ya watu wala huwezi kuwa na creativity za kusisimua. Angalia jinsi filamu za kikorea...
  20. Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

    NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…