Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Joseph Warioba, amesema matumizi ya nguvu yanaweza kuleta utulivu lakini hayawezi kujenga amani ya kudumu, akitaka nchi hiyo irejee kwenye misingi ya usawa, uadilifu, uwajibikaji na uzalendo.
Warioba ameyasema hayo katika mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na...