Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Timotheo Mzava (Mb), imekagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu ya nyumba inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dodoma.
Ziara hiyo imefanyika Oktoba 19, 2026, ambapo...