Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani?
Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
Je,
1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania?
2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania?
3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na...
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.
Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.
Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu.
Nimeona wachambuzi mbalimbali wakimpongeza kwa kuweka wazi angalizo hilo. Nimemsoma mtani wangu kisiasa Yericko Nyerere akichambua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024
CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI
Mkuu wa...
Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa
"Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu"
Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa...
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel.
Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika...
Jenerali Abdallah Twalipo aliteuliwa kushika madaraka ya u- CDF february 13, 1974 mpaka Novemba 8, 1980.
Chini ya uongozi wake alishuhudia na kushiriki vita ya Kagera bara baada ya uvamizi wa Nduli Idd Amin Dada.
Jenerali Twalipo alipostaafu, kuna kambi moja Dar es Salaam inayotumika kuaga...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa
1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda.
2...
Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza.
Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.
Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na...
Awali ya yote nampongeza sana Mhe. Rais wetu, mpendwa wetu Mama SAMIA SULUHU HASSANI kwa kazi nzuri anayoifanya na wasaidizi wake. Pia nampongeza sana aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu kwa kazi kubwa aliyoifanya na nampongeza sana Mkuu mpya mteule wa majeshi ya ulinzi kwa uteuzi wake...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo alivyowasili Wizara ya Ulinzi na JKT makao Makuu Mtumba, kwa lengo la kuaga rasmi kabla ya kustaafu kwa Umri wa Utumishi Jeshini.
Akiongea wakati wa kikao cha Waziri na Menejimenti ya Wizara amesema kuwa mara hii...
Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama kiongozi wetu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
Ki ukweli taifa na dunia kwa ujumla...
Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.
Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa).
CDF huyu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.