Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeeshamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa. Ila hatanyongwa ikiwa atahukumiwa hivyo, atapewa msamaha na rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Akil zako zmejaa kinyesi kitupu
 
Lengo la kesi ya Lissu ni kuzuia scenario ya Lissu Vs kijana 2030.

Ingawaje hadi sasa njia imeanza kuwekwa lami.
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeeshamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa. Ila hatanyongwa ikiwa atahukumiwa hivyo, atapewa msamaha na rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
Mkuu, can you rephrase your thing?

Umeichanganya.
 
Wewe na Lisu nani anaijua sheria?
 
Kuna wakati hata kama una uhuru wa kutoa maoni, basi hekima iwe inachukua nafasi. Kipi ambacho wewe kinakufanya uandike uzi wa kishabiki na kijinga kama huu ?
Acha Mahakama ifanye kazi, ramli za kijinga kama hizi achana nao

Nimekuona bonge la %%@%^#%#@&%
Unaandika kwa raha zote kushangilia binadamu mwenzako kunyongwa ?
😡😡😡
 
Mimi nimeandika mtazamo wangu kutokana na muenendo wa kesi, kama wewe umetafsiri ni kushangalia hiyo ni juu yako, siwajibiki na tafsiri yako.
 
Back
Top Bottom