G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Tundu Lissu alipowahitaji alijua nini atafanya. Uhaini siyo maneno tu ya kuzungumza bali ni matendo ndiyo yanathibitisha. Hao watakutana na Lissu na watajuta kumfahamuKwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeeshamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa. Ila hatanyongwa ikiwa atahukumiwa hivyo, atapewa msamaha na rais mwishoni mwa mwaka 2030.
Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?
Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi