Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

Anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha kama Bibi Titi kama bado ni mojawapo ya adhabu ya makosa ya uhaini ila nimemsikia Lissu mwenyewe kila mara akisema adhabu ya kosa la uhaini ni hukumu ya kunyongwa mpaka kufa.
Haiwezekani kifungo cha maisha.
Sheria ya kosa husika imetaja adhabu moja tu KUNYONGWA.
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
punguza UJINGA
 
Huyu jamaa huwa sijui anafikiri kwa kutumia nini. Thread zake nyingi ni kama za mtu mwenye mawenge. From no where anaweza kuibua thread lakini ukisoma huoni mantiki yake. Kwani hata wasipoenda kwa hawa majaji wa Samia watashindwa nini kumhukumu?
Anatumia makaliooooo
 
Watu hawaelewi. Hata majaji waliposema Lissu ajitetee walisema kuna kesi imekuwa established hivyo wanataka kusikia zaidi na wakasema hawataangalia ushahidi uliowasilishwa na Jamhuri maana ulikuwa haujitoshelezi. Na siku zote hati ya mashtaka ndiyo inayozungumza ambayo mengi wanayouliza mawakili wa serikali hayapo kwenye hati hiyo.
Tatizo wabongo ni kujitia ujuaji na huku hawajui lolote Sasa kwenye ushahidi wa kina Katuga Kuna nini cha maana.kesi ya Thomas Zangira inaweza kuwa precedence nzuri maana ilikuwa na tungible evidence sasa haya ya kuungaunga Yana uzito Gani? Wabongo uelewa mdogo sana.Eti mtu anweza kunyongwa kwa taarifa ambazo hata hakupost na waliopost wapo.Halafu hizi ni Kauli za kisiasa tu
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
LAbda kwa kumuonea, lakini kwa kesi ya uhaini, hakuna ushahidi hata wa 2%.
Na akihukumiwa kwa uonevu atakata rufaa na atashinda.
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
Hii ni kesi ya Kisiasa, hivyo itatumika kama kete/karata ya kinachoitwa 'maridhiano’.
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
Wanaushahidi mzito au kuwa ni watu wazito?
 
Ushahidi wao lazima uonyeshe nchi iliwekwa kwenye hali gani, wananchi tuliwekwa kwenye tahadhari gani na amri zilitoka kwa nani.
 
Sio lazima, hii ni kesi ya kisiasa ya kupangwa.
 
Wabongo tunashida sana.

Nikikwambia mada ni ujinga mtupu, you will take it personally.

As far as you are concerned uitikio wa maafisa wa vyombo vya usalama kwenda kutoa ushahidi ndio uzito wa ushahidi wa kes.

This is narrative you are selling pertaining the gravity of the case.

Watu wakiwaambia that has nothing to do with required burden of proof; mnaona huyu jamaa nae.

That includes Lissu mwenyewe; serikali hawana kesi, kilichopo mahakamani ni ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom