Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.
Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?
Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi