Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

Yoda ulitegemea asihukumiwe.

Kwa aina ile ya ushahidi wa upande wa mashtaka kama kesi haikutupiliwa mbali mnaelewa nini?
Nilikuwa najua kesi itachukua muda mrefu zaidi hata miaka mitatu ila mwisho wa siku ataachaliwa kwa the so called "maridhiano. Hili la mahakama kusema CDF na IGP wake wake kama mashahidi sikulitegemea. Nilipoona Lissu amewataka Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu na hao wengine mategemeo yangu ilikuwa wote hawatafika na kesi itaashia hapo.
 
Sasa mkuu umepitisha kabisa kama wewe ndiye jaji vile, bila hata kutupa sababu?
Nilifikiri sababu ni wazi sana mkuu ya kila mtu kuelewa kwamba kwa mfumo wetu wa utawala serikali haitakubali CDF na IGP wakahojiwe mahakamani kama wanajua serikali haitashinda hiyo kesi.
 
Cha msingi haki itendeke, naamini Lissu anatengeneza precedency. Je mahakama itakubali kuweke precedency mbaya? Flawed?
Haki Tanzania?labda tungekua tunasoma between the lines tusingekua na matumaini na mahakama..

Ushawahi kujiuliza why hiyo wizara kwa Kingereza inaitwa Ministry Of Justice ila kwa Kiswahili inaitwa Wizara ya Sheria??

Wamepindisha tafsiri makusudi au coincidence??.

Kwa Kesi ya Lissu tegemea lolote
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
Punguza visungura mkuu, vinakuharibu sana.
 
Nilifikiri sababu ni wazi sana mkuu ya kila mtu kuelewa kwamba kwa mfumo wetu wa utawala serikali haitakubali CDF na IGP wakahojiwe mahakamani kama wanajua serikali haitashinda hiyo kesi.
Ushamuhukumu jaji kwamba hawezi kabisa kupindua meza?
 
Ndiyo, ikiwa CDF na IGP wataenda kutoa ushahidi mahakamani.
Na hata jaji akipindua meza naona credit ikienda zaidi kwa kwa utawala wa CCM na Samia watavyosifiwa jinsia mahakama zilivyo huru.
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
Unapagawa kusikia mkuu wa majeshi unazani wana akili sasa hao wangelikuwa na akili wasingekubali maauji ya octoba 29 hao ni vilaza tu ndio maana wamepewa vyeo vikubwa ili watumike wafuate upepo ngoja uone wanavyoenda zalilishwa ndio utajua hii nchi vilaza ndio wenye mamlaka
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
Huyu fala mbono nyuzi zake zote za kianithi anithi 😁
 
Hujaweka wazi uhusiano wa kuitwa kwao mahakamani na hukumu ya Lissu ya kunyongwa. Jitahidi ujenge uhusiano wa hoja yako.
 
Itakua hufatilii kesi au akili yako haishiki vitu,Lissu kasema Kesi ya uhaini ni kubwa kuliko kesi zote Tanzania, akikutwa na hatia adhabu yake kufa ndio maana anajitetea,means he don't play kila hatua ni calculated move..

Mwisho umesema or afungwe maisha, wapi umesikia aliekutwa na kosa la treason anafungwa maisha??adhabu ni KIFO na hakuna mbadala..

Kwenye treason mtu anaefungwa maisha ni yule anaejua mpango wa Uhaini but akakaa kimya
 
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa rais mwishoni mwa mwaka 2030.

Kuna uwezekano Lissu kukata rufaa kutaka mashahidi ambao ni Rais, makamu wa Rais, Waziri na mkuu wa usalama taifa kuletwa kama mashahidi?

Au upande wa mashitaka watakata rufaa wakitaka hata CDF na IGP wasiwepo kabisa kwenye ushahidi
Hanithi wa akili weye
 
Hivi mkuu unafikiri tunajitosheleza kwa bajeti katika hii nchi ?
Tunategemea wahisani karibia 50%.. katika bajeti...

Unajua kwanini Sasa hivi Kuna mfululizo wa vikao mara kwa mara na wadau wa kisiasa ? Juzi umeona TCD ... Yote hii ni pressure kutoka nje..
Kama ulisoma Common Wealth mwezi July walisema Tanzania ifanye juu chini kuongea na washika dau wa kisiasa, asasi za kiraia ..watu watoe duku duku

Huko ndani...hasa Waziri wa mambo ya nje ..Kombo anapokea barua za kutosha kutoka nje kuhusu kesi za kisiasa, demokrasia nk nk

Hii kesi inapelekwa mbio mbio ..ili kujaribu kuwaridhisha hao tunaowaita mabeberu ili misaada isipungue zaidi..

Najua Mahakama zetu haziko huru ...wanaweza kuhukumu hivyo hivyo wanavyotaka...lakini pressure itakuwa kubwa kutoka nje...nakuhakikishia Hilo..

Na hata wakimfunga...hamalizi miezi 6 jela watamtoa...bila hivyo ...Serikali ijiandae kuendesha nchi kwa mikopo ya hatari...maana misaada itakuwa inazidi kupotea...
Na sio kwamba napendezwa na Serikali kupokea misaada... Lakini viongozi wapo kwa ajili yao binafsi..Hela zinapigwa sana...tunakimbilia kukopa na kuomba misaada

Katika hao mashahidi... Kuna mmoja ni mweupe sana kichwani... Yaani ni hohehahe...mtajionea wenyewe..
Atapigwa swali atatetemeka...subirini
 
Wakuu wa vyombo wagaenda.kudhalilika sana kama wataenda kutoa ushahidi.lazima.lisu awape kibano cha kuwadhalilisha
 
Sio rahisi sana maana hiyo hukumu itakuja kuleta aibu huko mbele lazima hata mahakama I play smart! Hii si kesi kama zile! International communities wanaifatilia very close!
Haitakuwa aibu kubwa kwa sasa kama October 29.
 
CDF na IGP watakwenda mahakamani ikiwa tu serikali imeshaamua kwa uhakika lazima Lissu apewe hukumu katika kesi ya uhaini ambayo ni kunyongwa.

Kama serikali haijaamua hukumu ya hii kesi basi haitawapeleka IGP na CDF mahakamani, majaji wataamua vyovyote 50/50.

Kwa maelezo ya sentensi yako ya kwanza ni wamaanisha na kuthibitisha kwamba mahakama yaendeshwa na serikali kwenye kesi hii jambo ambalo si sawa.

Mara nyingi huwa ni kifungo cha maisha na si kunyonga watu. Hiyo ni kwa kuangalia kesi za uhaini zilipata kutokea huko nyuma.

Na Lissu hatonyongwa.

Kama nilivyosema hapo juu lengo ni kusogeza muda (prolonging the situation) hadi 2030 ingawa hapo ni parefu.

2030 ni mwaka muhimu sana kwa mstakabali wa siasa za Tanganyika na kabla ya huko ttegemee kuona na kushuhudia mengi.
 
Back
Top Bottom