chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kauli za Viongozi wa CHADEMA kila anayewakimbia wana mbeza ikome.

    Heshima sana wanajamvi. Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk. Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: 'No Reforms No Election' yapigwa na CHADEMA, vyama vingine na Watanzania nao hawaitaki

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salma Kasanzu: Waliohama CHADEMA kwenda CHAUMMA wako kwa ajili ya kupambania matumbo yao, tuwazomee popote

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Salma Kasanzu awataka wananchi mkoani Mwanza kuwazomea viongozi wakuu wa CHAUMMA ambao wametoka CHADEMA akidai kuwa viongozi hao wapo kwa ajili ya kupambania matumbo yao na sio wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania G55 na wimbo wa "naapa naahidi mbele ya Mungu, CHADEMA nitakulinda mpaka kufa"

    Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na kuahidi mbele za Mungu kuwa watailinda CHADEMA mpaka siku za mwisho za uhai wao. Sasa najiuliza kulikoni...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: Wanachama 168 wa Chadema na CUF wamejiunga na ACT Wazalendo

    Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan Mngashwa wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwa thamani ya Tanzania niwafurahishe wakenya?, CHADEMA kuna mahali mnakosea sana

    Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee, Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale? Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kama hawa sio CHADEMA, basi wakenya wanadhalilika sana

    Yaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?. Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA epukaneni jazba, najua maumivu ni makubwa Mungu awajalie uvumilivu na utulivu

    Juzi niliandika Uzi hapa kuwataka CHADEMA kurudisha panga alani ili ijipange kiofisi Mara baada ya wapinzani wao kutumia nguvu haramu za kijambazi kuwadhulumu. Sasa naomba mje na mkakati mzuri wa ku cover ma gap ya kiuongozi ku replace walioondoka. Pia muwe watulivu acheni lugha za matusi kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema kushiriki Uchaguzi (2020) na kupata mbunge mmoja na Kutoshiriki kabisa Uchaguzi (2025) kuna tofauti yoyote?

    Unashiriki Uchaguzi unapata mbunge mmoja kutoka Wabunge 60 ulioachiwa na hayati Lowassa 2015 2025 huingizi timu uwanjani Sioni tofauti yoyote Wewe Je?
  10. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo chama kikuu cha upinzani

    CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
  11. JamiiForums Tanzania Natoa Wito kwa CHADEMA kwa niaba ya Watanzania iziombe radhi Kenya, Uganda na Dunia Nzima kwa Udhalilishaji waliofanyiwa Wanaharakati wa Kigeni

    Hili ni jambo la Muhimu sana kufanyika sasa, tena lifanyike kwa haraka sana ili kulinda Watanzania walio Nchi zingine dhidi ya visasi. Mara zote wageni wanapokamatwa kwenye Nchi yoyote ya Kibinadamu inayojali haki za binadamu na inayoheshimu mikataba ya haki ya kimataifa hufikishwa Mahakamani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita ya CHADEMA hamishieni pia kwenye Tehama na propoganda ndani na nje ya nchi. Msililie. Hii ni vita ya kiubunifu

    Nimemsikia Heche analalamika kuhusu jitihada za kuiua CHADEMA kuweni proactive badala ya kuwa reactive lakini pia wekeni mpango mkakati wa kuivusha CHADEMA kwenye mawimbi na kubaki na nguvu yake. Fanyeni SWOT anlaysis. TEHAMA na TEAM WORK ni silaha KUBWA sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waliodai kutapeliwa na kufanyiwa siasa za ulaghai kuingia Chaumma wapokeeni CHADEMA watakaporudi

    Nimewasikiliza wanachama 3 wailotapeliwa na kudanganywa kujiunga na CHADEMA kutoka Wilaya ya Kwimba warudisheni Chadema na waendelee na vyeo vyao kwa kufuata katiba. Kwa kweli nimewahurumia sana na kwa msingi huo na declare kuwa Chaumma ni chama cha kihuni hakitafika mbali. Chadema...
  14. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  16. JamiiForums Tanzania Martin Masese awaumbua CCM na CHAUMMA waliodai kuibomoa CHADEMA, takwimu zasema vinginevyo kwa walioondoka

    Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maono:" NO REFORM NO ELECTION" Tumeshawaelewa, CHADEMA mkiingia kwenye UCHAGUZI huu baada ya hii presha mnayotoa 2030 mtachukua Dola

    Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi. Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli. Sasa ili kazi imaliziwe vizuri, na watu wameshaona. Sasa mtumie uchaguzi huu ujao kukusanya data za KWA...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Njia pekee ya watu kujipatia uongozi utakaowajibika kwao ni kwa njia ya kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu ambao wameshindwa kuongoza nchi, wanaoiba mali za umma na wasio na malengo na nchi hii. "Sote...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: CHADEMA Tupo katikati ya Vita kubwa dhidi ya Watawala, njama zinafanyika kudhoofisha CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kiko katikati ya vita dhidi ya watawala, akidai kuna njama za kupinga uamuzi halali ya vikao vya chama na kujaribu kudhoofisha harakati za kudai mabadiliko ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Ijumaa, Mei...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Mkakati wa Kijasusi wa CHADEMA mkakati wa siri Uliowekwa kati ya CHADEMA na CHAUMMA na CCM Inafanya Makosa Kutokujua Hilo, Japo Wanaambiwa..

    Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…