chakula

  1. Utafiti: Kuongeza chumvi kwenye chakula kilichopikwa tayari hupunguza miaka ya kuishi

    Utafiti uliohusisha Waingereza wapatao 500,000 umebaini kuongeza chumvi kwenye chakula kilicho mezani (Chakula kilichopikwa tayari) kunahusishwa na kifo cha mapema. Watafiti wamegundua kuwa kuongeza chumvi kila wakati kwenye chakula hupunguza zaidi ya miaka miwili ya kuishi kwa Wanaume na mwaka...
  2. F

    Serikali kufunga mipaka kwa upungufu wa chakula ni kuwaua wakulima

    Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu. Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
  3. Kenya 2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

    "..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP) Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia...
  4. O

    Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
  5. O

    Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
  6. L

    Tamasha la 22 la chakula la China lafunguliwa Harbin

    Tarehe 29 mwezi Juni, tamasha la 22 la chakula la China ambalo pia ni maonyesho ya 5 ya mnyororo wa ugavi wa sekta ya upishi yameanza rasmi katika Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Harbin.
  7. E

    Misaada na Mikopo ni chakula cha Mafisadi, Watanzania tuipinge kwa nguvu zote

    Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ? Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu . Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija...
  8. Chakula cha mchana kwa wafanyakazi kinaleta motisha kwenye ufanisi

    Chakula cha mchana makazini kina siri kubwa katika kuleta ufanisi. Wakati wa Ukoloni mashirika mengi ya watu binafsi yalitoa chakula cha mchana kwa wafanyakazi. Kwakua ubaguzi wakati ule ulikua ni wa wazi Wazungu ambao walikua ni wachache wenye nafasi za juu walitaarishiwa milo mizuri na kwa...
  9. Waziri Bashe aache sifa apige marufuku Uuzaji wa Chakula nje

    India mwezi jana ilipiga marufuku kuuza ngano nje ili kulinda soko la ndani make bei ya ngano kule India ilikuwa imeanza kupanda kwa kasi sana. Kumbuka wale Ngano ndo chakula kikuu na Wali pia. India ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani lakini iliona hatari kwa raia wake kuuziwa ngano bei ya...
  10. Sudan: Zaidi ya 30% ya raia wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na Utapiamlo, na takriban 375,000 wanaweza kupoteza...
  11. Nilimpatia elfu tisini jana, leo kakataa kunikopesha chakula kwenye mgahawa wake

    Habari zenu wana JF, Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo ulikuwa chanzo cha mimi na yeye kufahamiana...
  12. Sri Lanka: Watumishi wa Umma waondolewa siku moja ya kazi kuhamasisha walime

    Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
  13. L

    Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja

    Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja
  14. Chapati za mihogo ni chakula kizuri kwa afya pia kwa uchumi

    Gharama za maisha zimepanda sana, sasa hivi kumudu gharama za mkate asubuhi ili uwe kitafunwa cha kifungua kinywa ni wachache wanamudu. Hawa watoto wetu wengine hawajazoea kula mihogo ya kuchemsha au viazi vya kuchemsha na chai. Kwa kuwabadilishia tu unaweza kufanya hivi. Chemsha mihogo mpaka...
  15. UN: Takriban watu Milioni wakabiliwa na upungufu wa chakula nchini Kenya

    Idadi hii inatajwa kuongezeka kutoka zaidi ya watu milioni tatu mwaka jana huku zaidi ya watoto 900,000 walio chini ya umri wa miaka mitano wamegundulika kuwa na utapiamlo. Inaelezwa kuwa sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini-mashariki, inakabiliwa na uhaba wa chakula kutokana viwango vya chini...
  16. Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge. Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya. Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi. Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
  17. L

    Je, ni kweli kwamba China imesababisha mgogoro wa chakula duniani?

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetoa “Ripoti ya Mgogoro wa 2022 wa Chakula Duniani”, ikisema dunia itakabiliwa na uhaba wa chakula ndani ya wiki 10 zijazo. Hili ni suala kubwa linalohusisha usalama wa chakula wa mabilioni ya watu duniani, hivyo linafuatiliwa sana. Kwa mara...
  18. Juni 07: Siku ya Usalama wa Chakula Duniani (World Food Safety Day)

    Chakula salama ni miongoni mwa vichocheo muhimu vya Afya njema. Vyakula visivyo salama ni chanzo cha magonjwa mengi. Kila mmoja wetu wajibu katika kuhakikisha usalama wa Chakula katika hatua zote za mnyororo wa thamani, kuanzia kinapozalishwa hadi kinapomfikia mlaji wa mwisho Mbali na madhara...
  19. J

    Rais Putin aihakikishia Afrika kuilinda kwa Chakula na Mbolea. Asema Russia na Afrika ni marafiki wa Kufa na Kupona!

    Rais Sall wa Senegal ambaye ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Leo amekutana na Rais Putin nchini Urusi. Rais Putin amesema Afrika ni rafiki wa kweli wa Russia hivyo wasiwe na hofu wataendelea kupata nafaka na mbolea kutoka Russia Leo ni siku ya 100 tokea vita ya Russia na Ukraine ianze Source...
  20. Chad yatangaza hali ya dharura kutokana na uhaba wa chakula

    Serikali Nchini humo imesema imetangaza Dharura kutokana na Mwenendo wa Hali na Chakula na Lishe kuzorota, hivyo kuweka hatarini Maisha ya Watu ikiwa watakosa misaada ya kibinadamu. Umoja wa Mataifa (UN) umeonya kuwa watu Milioni 5.5 katika Taifa hilo watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka 2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…