Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula.
Mkuu huyo David Beasley ameongeza kuwa, mgao wa chakula kwa mamilioni ya watu katika nchi hiyo inayokabiliwa na vita utasitishwa mwezi ujao wa Oktoba...