computer

  1. kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

    niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
  2. Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha

    Habari wana JF? Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi Ahsante!🙏
  3. D

    SOFTWARE Watengenezaji mifumo ya computer kwa mahospital shule na micro-finance zote

    Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako. Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA...
  4. Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

    Salaam, Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
  5. M

    Computer Systems Designing -Uundaji wa mifumo ya computer mbalimbali

    Habari wakuu, kama kichwa kinavyojitangaza, mimi kama mtaalamu wa mambo ya kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer, nawakaribisha kwa mwenye uhitaji wa mfumo wa aina yoyote, niko hapa kukusikiliza na kukuhudumia. Mfano wa systems ambazo unaweza kuhitaji ni kama ifuatavyo ( Naomba udhuru kwa...
  6. YouTube shortcuts kwenye Computer keyboard

    Baadhi ya key zilizopo kwenye keyboard ya computer hua ni Shortcut kwenye YouTube. Hivyo ukiwa unatumia computer kuna baadhi ya key unaweza zitumia kama mbadala wa kipanya. Baadhi ya shortcuts hizo ni; 1- kusimamisha video inayo play kwenye YouTube bonyeza Back space hiyo inatumika kama ku...
  7. V

    Computer4Sale All in one computer

    Najaribu kutest maji tu, Nina computer desk top All in one. ni nzuri sana kwa mtu anaetaka kufungua computer class.Ziko 17 ni dual core 2 na icore 5 ,Napendelea kuziuza zote kwa pamoja ibox me with your price
  8. Hizi hapa keyboard shortcut muhimu uzifahamu

    Important Shortcut Keys for Computer- CTRL+A. . . . . . . . . . . . . . . . . Select All CTRL+C. . . . . . . . . . . . . . . . . Copy CTRL+X. . . . . . . . . . . . . . . . . Cut CTRL+V. . . . . . . . . . . . . . . . . Paste CTRL+Z. . . . . . . . . . . . . . . . . Undo CTRL+B. . . . . . . . . . ...
  9. Degree ya computer science

    Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
  10. Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  11. M

    Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

    Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake. Zina nini hizi?
  12. SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
  13. Computer inawaka na kuzima

    Wakuu msaada wenu hapa. Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga wowowte kwenye screen. Wazee wa tech msaada wenu hapa tatizo linaweza kuwa ni nini?
  14. Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  15. Computer4Sale Computer CPU inauzwa kwa bei nzuri

    Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800. CPU bado ipo katika hali nzuri, niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka. Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure. Bei ni laki mbili tu. CPU ipo...
  16. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
  17. Msaada wa keypads za HP Spectre 360

    Habari, Naombeni msaada wa wapi naweza kupata keypads za HP SPECTRE kama mnavyoona kwenye picha hapa chini, kama kuna mtu unazo naomba tuwasiliane tufanye biashara, Namba yangu ni 0687855558. Hp spectre 360 Touch cpu 2.5ghz ram 8gb ssd 256gb core i5 silver
  18. INAUZWA Computer CPU naiuza kwa bei nafuu

    Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu Ni Dell Vostro Ram 4 GB Hard Disk 800 GB Bei laki mbili (200,000/=) Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
  19. Msaada: Computer yangu inakula sana bundle

    Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika. Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
  20. Ninunue desktop computer yenye specifications gani ili baadae ni upgrade mwenyewe?

    Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies. Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti. UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza graphics hususani video editing na design mbalimbali kwa kutumia programs za Photoshop...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…