US President Donald Trump has been lambasted by the medical community after suggesting research into whether coronavirus might be treated by injecting disinfectant into the body.
He also appeared to propose irradiating patients' bodies with UV light, an idea dismissed by a doctor at the...
Serikali mkoani Morogoro, imeazimia kusimamisha magari yote yanayopita ndani ya mkoa huo yakiwemo ya abiria ilikuwapima abiria ikiwa ni moja ya njia ya kukabili maambukizi ya virusi vya corona kuendelea kusambaa nchini.
Agizo hilo lilitolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Sanare...
#TheNotorious9
The notorious nine: These world leaders responded to the coronavirus with denial, duplicity and ineptitude - Brazil, Mexico, Belarus, Turkmenistan, Tanzania, Zimbabwe, Cambodia, North Korea
Tanzania
While most countries were going into lockdown and banning large gatherings...
Gonjwa la COVID 19 limewatia hofu watu wengi duniani kote, na wenye uwezo watalichukua kama changamoto na kulifanyia kazi.
Ninay hakika Coronavirus atapata m-arobaini wake mda si mwingi. Atakuwa gonjwa la kawaida tu kama magonjwa mengine, kama ataamua kubaki katika jamii. Bado kuna uwezekano...
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020
--
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za...
Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
unajua kama viongozi wetu walizalau covid-19 ilipo kuwa inaingia nchini,mipaka na airport ziliendelea kufanya kazi, viongozi wachache wakatumia covid kama siasa na kushindana na kukashifiana, na hawa ndio viongozi wetu, wenye uelewa na ufahamu wa aina hiyo! ninapata ukakasi kuamini suruhisho la...
Pamoja na mamlaka husika kutozuia mikusanyiko ya kiibada katika kipindi hiki cha hatari cha maambukizo ya ndani. Na pamoja na Ofisi ya Mufti mkuu kuelekeza ufanyaji wa Ibada na hasa upangaji wa mistar (safu) uwe si wakuganda kama sheria inavyotaka badala yake iwe mita moja baina ya mtu na mtu...
Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19).
Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni...
MCHEKESHAJI Pierre Liquid maarufu kwa vibwagizo vya kama utabaki kileleni, mama nakufaa, amekutwa na corona.
Akizungumza leo Jumapili na Mwanaspoti, Pierre ambaye jina lake ni Peter Mollel, amesema amebaini kukutwa na ugonjwa huo juzi.
Akizungumza kwa njia ya simu Pierre amesema kwa sasa yupo...
Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni serikali kwa asilimia 100% nitawalaani mpaka kaburini
Nina sababu ya kusema serikali ndo ya kulaumiwa kwa sababu zifuatazo
KWANZA kabisa kipindi mwezi wa pili na wa tatu Corona ilivyoanza kuwa serious ninyi mliendelea kuwapokea watalii na wachina tena bila...
Rais wangu salamu kwako.
Rais wangu, kusema kweli umeniangusha sana na umezidi kuondoa imani yangu kwako. Swali ninalokuuliza: Je, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine?
Nimeuliza swali hilo kwakuwa bila ya kuhadaa wala kubwabwaja umenifanya mimi pamoja na Watanzania...
Ni wazi kuwa wenye ujasiri wa kuandika nyuzi kama hizi kwa maslahi ya taifa ndani ya vitisho vilivyopo si wengi, hivyo tafadhalini msiwe sehemu ya kuwanyamazisha.
Wanasema nani mwenye kumfunga paka kengele? Ni muhimu sasa bila ya kupoteza muda zaidi wala kumung'unya maneno, tumfunge paka huyu...
Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
======
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile, ametolea Ufafanuzi Clip...
Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza...
Ukweli utabaki pale pale siku zote ni kwamba barakoa aina ya N95 respiratory masks, Surgical masks,FFPI ndio zipo imara kuzuia maambukizi ya Corona .Na kwa mujibu wa Intergrated Pharmacitical company " Varsoy healthcare" na American lung association Barakoa hizi ndio zenye uwezo wa kuzuia...
Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na...
The Nigerian president’s chief of staff, Abba Kyari, died on Friday after contracting the new coronavirus, two presidency spokesmen said on Twitter.
Kyari, who was in his 70s and had underlying health problems including diabetes, was the top official aide to 77-year-old President Muhammadu...
Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote.
Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona.
Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.