coronavirus

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nyangau mkenya

    Ethiopia imepima watu 842 kwa masaa ishirini na nne na kugundua kesi 4 za covid19 : 17th April

    96 cases total
  2. Analogia Malenga

    Coronavirus: Klabu za ligi ya Premia zimeamua kwamba zitaendelea na ligi hiyo lakini hazikutoa tarehe rasmi

    Klabu za ligi ya Premia zimesema kuwa zitaendelea na ligi hiyo ili kukamilisha mechi 92 zilizosalia msimu huu , lakini hazikusema tarehe rasmi ya kurudi uwanjani katika mkutano siku ya Ijumaa. Klabu hizo zilitarajiwa kujadiliana kuhusu kurudi uwanjani ifikiapo tarehe 30 mwezi Juni lakini badala...
  3. TDSF

    Taarifa Kuhusu Coronavirus #COVID-19 Kwa Lugha ya Alama ya Tanzania (LAT)

    Habari! Kupitia Ukurasa Huu utaweza Kupata taarifa mbalimbali Kuhusiana na Ugonjwa wa Coronavirus #COVID-19. Lengo ni kuhakikisha hakuna kundi litakaloachwa nyuma katika kupatta taarifa.
  4. Suley2019

    Coronavirus cases in Kenya rise to 246 as 12 more patients test positive

    Twelve more patients have tested positive for coronavirus in Kenya raising the total number of COVID-19 cases in the country to 246. Health CS Mutahi Kagwe, in a press briefing at the Jomo Kenyatta International Airport, said the 12 were confirmed from 450 samples that had been tested by Friday...
  5. Suley2019

    Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

    Msikiti wa Al-Aqsa wa Jerusalem utafungwa kwa waumini wa dini ya kiisalmu katika mwezi mzima wa Ramadhani kwa sababu ya janga la coronavirus, viongozi wa Kiislamu walisema jambo hili siku ya Alhamisi. Aidha, inaelezwa kuwa kwa kawaida Mwezi wa Ramadhani huwa na waumini wengi sasa katika msikiti...
  6. R

    Mutation rates in viruses zina predict pandemic kama hii ya coronavirus to strike back with time

    If you can not make sense out of it just skip, usitukane! Kwa wanaoelewa hivi vitu angalau kwa kiasi fulani, pandemic kama hizi ziko likely kutokea in the future. Publication hii inatoa mwanga kuwa haya ya Covid-19 kwa wanasayansi yalitegemewa. It is no wonder this fatal coronavirus evolved a...
  7. R

    Coronavirus reference labs: Africa hatumo ukiacha SA ambako wenye labs ni wazungu

    Waafrika wenzangu. Janga hili mchango wetu ni upi? Angalia hakuna reference lab for confirmatory testing of corona testing Africa ukiacha South Africa ambako, I guess ni wazungu! Serikali zetu zipate funzo ku support research in our countries.
  8. R

    How do Laboratory test for coronavirus conducted?

    Ukiacha temperature testing ambayo joto kuwa juu linaweza kusababshwa na mambo mengi mwilini, kwa sasa presence ya coronavirus infection inafanyikaje? Najua Rapid tests (RDT) hazijawa validated na kuwa approved na WHO (stand to be corrected). Sasa huu upimaji unafanyikaje. Mass screening...
  9. Planett

    People Burning Down 5G Cell Phone Towers Over Coronavirus Conspiracy Theories

    In summary:- Anti-5G protesters have attacked cell tower sites in Holland, New Zealand, and Ireland as conspiracy theories linking the next-generation communication technology to the coronavirus pandemic continue to spread online and in the media. === Anti-5G protesters have attacked cell...
  10. J

    Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

    Waziri mkuu mh Kassim Majaliwa amesema kuna taarifa kuwa baada ya masomo kusitishwa kwa sababu ya Covid 19 watoto hao sasa wamekuwa wakienda makanisani na misikitini kwa ajili ya kujinza. Mh Majaliwa amesisitiza kuwa alipokutana na maaskofu na mashehe walikubaliana kusitisha Huduma nyingine...
  11. babu M

    Coronavirus: Army veteran Tom Moore, 99, raises £4m for NHS

    Wiki iliyopita Kapteni Moore alisema anatembea mizungoka 100 kwa madhumuni ya watu kuchangia mfuko aliuanzisha kusaidia NHS. Kapteni Moore ambaye alifanyiwa hip replacement operation na NHS siku za karibuni. Anatarajiwa kutembea mizunguko hiyo ya wastani wa mita 25 kwenye bustani ya Nyumbani...
  12. I

    Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

    Hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje? Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. Watu...
  13. Influenza

    CoronaVirus: Katika kujikinga na COVID19 mikusanyiko ya Waandishi wa Habari yazuiwa Zanzibar

    Katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa #COVID19, Serikali imesema kuanzia leo mikutano ya Waandishi wa Habari na shughuli nyingine zitakazowafanya waandishi wa habari kukusanyika zinasitishwa Hivyo, taarifa za Waziri wa Afya kuhusiana na ugonjwa huo zitatolewa kwa njia ya...
  14. R

    CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

    Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below: WHO USES EXISTENTIAL THREAT? The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action. Pascal...
  15. Prof T Johannes Chacha

    Fahamu kuhusu kada ya Biotechnology (bioteknolojia) na majukumu ya wataalamu wa Bioteknolojia

    Thread starterDyf Start dateMonday at 5:51 PM Dyf Senior Member Monday at 5:51 PM Utangulizi Bioteknolojia ni aina ya teknolojia inayotumia elimu ya biolojia kwa manufaa ya binadamu. Ni teknolojia ya uvumbuzi wa mambo mbalimbali kwa manufaa ya binadamu, kwenye upande wa afya, kilimo...
  16. Dr Akili

    Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
  17. J

    #COVID19 Namna gani unaweza kukabiliana na mawazo kipindi hiki cha CoronaVirus

    1. Ni kawaida kuhisi huzuni, kupata mawazo, kuchanganyikiwa, kuogopa au kuwa na hasira wakati wa matatizo. Ongea na watu unaoamini watakusaidia. Wasiliana na familia yako au marafiki 2. Kama ni lazima ukae nyumbani, kuwa na maisha yenye afya ikiwa ni pamoja na kula lishe sahihi, kulala, kufanya...
  18. Suley2019

    Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

    The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19. Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners. Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other...
  19. M

    Coronavirus: World Bank predicts sub-Saharan Africa recession

    Sub-Saharan Africa will this year suffer its first recession for 25 years as a consequence of the coronavirus outbreak, a World Bank report predicts. In a grim assessment, the bank says that the region's economy could shrink by as much as 5.1%. It points to the impact that the virus will have...
  20. Abdalah Abdulrahman

    Upotoshaji uliopo kati ya uhusiano wa teknolojia ya 5G na corona

    Hivi karibuni kumetokea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ugonjwa wa corona na Teknolojia ya 5G.Miongoni mwa hoja zinazotolewa ni kama zifuatazo:- 1. Kuwa karibu na 5G kuna sababisha corona, ndio maana nchi zilizo athirika zaidi ni zile zilizoanza...
Back
Top Bottom