Ishu ipo kwenye gap lililopo kwa Sasa,, Ikiwa makundi kadhaa yanayo wajibika karibu sawa kwenye jamii, kundi moja linapata malipo ya zaidi ya 13mil na marupurupu lukuki.
Hawa walio chini watajihisi vipi,, Wataiona wapi thamani yao.
Hii haimaanishi kumshusha aliye juu,, bali na hawa walio...