Mitandaoni kuna madai ya baadhi ya wauzaji wa dawa za asili kwamba bidhaa zao zinaweza kuti
bu na kuponya kisukari kabisa, hata ndani ya muda mfupi. Kwa mfano, baadhi ya matangazo yanadai kuwa dawa fulani ya asili inaweza kumaliza kisukari ndani ya siku 90. Je, madai haya yana ushahidi wa...