Salaam!!
Imani ni kuitakidi kuwa kitu fulani ni kweli na sahihi.
Dini ni msingi wa kiimani ambao unatumika kwenye maisha kwa taafsiri fupi dini ni tamaduni na tamaduni ni mfumo wa maisha mfano kula,kuvaa,uchumi,siasa na hata malezi inahusisha dini mfano waislamu kwao wamekataza kula mkono wa...