dorothy gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali please huyu mama atendewe haki, Dorothy Gwajima na waziri wa katiba na sheria ,mna kazi ya kufanya hapa

    Kuna tatizo kubwa hapa, haiwezekani ajali tu ifanye huyu mama anyanyasike na watoto wake. ATENDEWE HAKI tafadhali. Haya ndo matatizo halisi mnayopaswa kuyasikiliza na kuyatolea ufumbuzi wa HAKI kabisa.
  2. Pre GE2025 Kutakuwa na sare ya wanawake wote kitaifa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Machi 8 2025

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa kutakuwa na Sare ya Kitaifa tarehe 8 Machi 2025, kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani na pia; Kabla ya tarehe 8 Machi, maadhimisho yataanza mikoani kwa kila mkoa...
  3. Leo nimeshuhudia Umahiri, unyenyekevu, na uchapakazi wa Waziri Dr. Dorothy Gwajima Mubashara yaani ana kwa ana

    Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late). Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
  4. Halima Mdee, Dorothy Semu, na Dkt. Dorothy Gwajima ni baadhi ya mifano Bora ya Wanawake kwenye Siasa na Uongozi

    Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA Dorothy Semu Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
  5. Waziri Dorothy Gwajima: Wanafunzi waliojirekodi picha za utupu na kusambaza kurekebishwa tabia na kurudi shule

    Wakuu sauti iliyopzwa imemfikia Waziri Dkt. Gwajima D Wanafunzi hao kurudi shule baada ya kupita kwenye programu ya marekebisho tabia. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema wanafunzi wa kike mkoani Tabora waliofukuzwa shule kwa makosa ya...
  6. A

    DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

    Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya tukio hili ni lazima nilitolee taarifa ili wahusika wamsaidie mwanamke huyo na jamii ijifunze...
  7. Dkt Doroth Gwajima, tafadhali tufafanulie kama fedha za TASAF: Ni Mali ya chama au Serikali?

    Dkt Doroth Gwajima ni Kipenzi cha watu wa mitandaoni maana anajibu kistaarabu na anachukua hatua Kwa Malalamiko anayoyapata mitandaoni. Aje atufafanulie kama madai ya hawa Wananchi wa Kasulu ni kweli au uzushi? Kama ni kweli, sharti la kuwa na kazi ya chama liko kwenye Sera ya uchumi au sheria...
  8. Dkt. Dorothy Gwajima ndiye waziri anayekubalika kwasasa nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanza kabisa nipende kukiri hadharani ya kwamba,Binafsi huyu ndiye waziri ninaye mkubali Kwa Sasa nchi Tanzania. Huyu waziri anazosifa kadhaa ambazo zinamfanya aendelee kukubalika Kwa Watanzania kibwena. SIFA ZINAZOMFANYA KUPENDWA NA WATANZANIA WALIO...
  9. D

    DOKEZO Waziri Gwajima chukua hatua kwa ukatili huu aliofanywa mtoto shule ya Msingi Kitefu, Halmashauri ya Meru

    Shule ya msingi Kitefu iko Halmashauri ya Wilaya Meru mkoa wa Arusha. Kuna mtoto amefanyiwa ukatili na anadaiwa ni baba yake kwa kumchoma na nyaya za umeme, huyu bwana alikuwepo leo shuleni baada ya kuitwa na Mwalimu Mkuu Mdee. Kinachokatisha tamaa ni kwamba badala ya huyu bwana kujutia kitendo...
  10. Wizara ya Maendelo ya Jamii: Kumpa tuzo aliyekimbiwa na Bi. Harusi, Waziri Gwajima ampigia simu

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Dorothy O. Gwajima. Ametoa ahadi kwa kijana Edward Futakamba kupitia Wizara watampa tuzo ya Mwanaume bora ili kuhamasisha watu wengine hata katika mapito magumu ukisimama unabaki na hekima halafu unapandisha hadhi yako...
  11. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano...
  12. Ziara yangu ofisi za JamiiForums

    Wasalaam Wanajukwaa wenzangu. Mapema tarehe 12 Julai, 2024 nimetembelea Ofisi za Jamii Forums kama mojawapo ya taasisi inayojihusisha na habari za kijamii. Lengo la ziara ni kuweza kufahamu shughuli za taasisi hii na kuona namna ya kushirikiana Ili kupanua wigo wa kuifikia jamii kidigitali...
  13. Pre GE2025 Rais Samia, kwenye mabadiliko Madogo, Jumaa Aweso na Dorothy Gwajima tunaomba usiwaguse

    Salaam Wakuu, Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri. Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa. Napendekeza apewe...
  14. A

    KERO Waziri Dorothy Gwajima, tunaomba umwangalie huyu Sheikh na Mahubiri na Mada zake

    Sio tu serikali inaweza kujua matatizo yote kupitia kwenye mitandao ya jamii ila nimekutana na huyu anajiita sheik zaid makubul kuhusu maada za kibaguzi na makabari. Kwako waziri Doroth gwajima kupitia wizara yako unaweza kumpa onyo kali mfano wa watu hawa wanaweza kusababisha makabila...
  15. Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni. Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
  16. Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa. Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza...
  17. PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D. Kiukweli kabisa...
  18. T

    Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  19. Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima Na... Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Moses Nnauye. Wasalaam, Poleni kwa kazi. Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
  20. Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…