Habari za Jua kali Wakazi wa Duaniani.
Kuna mahala nimesikia habari ya kwamba, Katika Tasnia ya Uwekezaji hasa katika passive income ,inayowekezwa Kwa kununua Hisa, Vipande au ,Bond watanzania wengi bado wapo nyuma sana, na ni Jamii moja tu ya Wachaga ambayo ndo Inaonekana ikifanya Vizuri...