Bahati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani.
Vita ya kiuchumi maana yake ni mgongano wa kiuchumi unaotokea baina ya mataifa mawili. Wakati mwingine msuguano huu unaweza kutokea baina ya mataifa mengi lakini yenye pande mbili zilizoungana direct or inderect zenye nguvu...