Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kesi dhidi ya Kampuni kubwa za Teknolojia za Google, Twitter na #Facebook pamoja na Watendaji Wakuu wake kutokana na marufuku aliyowekewa
Januari mwaka huu, Akaunti za Trump katika Mitandao ya Kijamii zilizuiwa kufuatia hofu ya Usalama wa...