fichua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kuunganishwa na CWT bila ridhaa ya Walimu wapya Uvinza

    Sisi walimu wapya walioajiriwa katika Wilaya ya Uvinza tunakabiliwa na changamoto ya kuingizwa moja kwa moja katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT) bila ridhaa yetu. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba makato ya ada ya uanachama yameanza kufanyika kwenye mishahara yetu bila sisi kutoa idhini ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zahanati ya Kazuramimba Wilayani Uvinza inawatoza Wajawazito wanaoanza Kliniki TZS 7,000

    Wauguzi wa Zahanati ya Kazuramimba, iliyopo Wilaya ya Uvinza, wanawatoza wazazi wanaofika kwa ajili ya kuanza kliniki ya uzazi kwa mara ya kwanza kiasi cha Sh 7,000. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba fedha hiyo hutolewa moja kwa moja kwa muuguzi kwa mkono. Tunajiuliza, je, fedha hiyo inaingia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA. Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Miembeni, mtaa wa Msituni, Moshi hatuna gari la taka na hivyo taka zinazagaa

    Wananchi wa Miembeni, Mtaa wa Msituni, tunakabiliwa na changamoto ya kutopatikana kwa huduma ya ukusanyaji taka katika eneo letu. Hali hii imepelekea baadhi ya wananchi kutupa taka ovyo, ikiwemo nyakati za usiku, barabarani na hata mashambani. Utaratibu huo unahatarisha afya za wananchi na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu

    Habar wakuu, Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa mshahara kuanzia tarehe 5-8 mwa mwezi unaofuata. Mfano mshahara wa mwezi wa tatu unalipwa mwezi wa nne...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini inanuka rushwa, ichunguzwe!

    Napoandika hii post leo, na siku za karibuni Waziri Mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini, mipango miji na TARURA kwa kula rushwa na kuuza maneno ya wazi au kuwezesha maneno ya wazi kuuzwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…