Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022 mara baada ya kuchukua fomu hiyo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyongo amesema ameamua...