gabon

Gabon (; French pronunciation: [ɡabɔ̃]), officially the Gabonese Republic (French: République gabonaise), is a country on the west coast of Central Africa. Located on the equator, Gabon is bordered by Equatorial Guinea to the northwest, Cameroon to the north, the Republic of the Congo on the east and south, and the Gulf of Guinea to the west. It has an area of nearly 270,000 square kilometres (100,000 sq mi) and its population is estimated at 2.1 million people. There are three distinct regions: the coastal plains, the mountains (the Cristal Mountains and the Chaillu Massif in the centre), and the savanna in the east. Gabon's capital and largest city is Libreville. The official language is French.
Originally settled by Pygmy peoples, they were largely replaced and absorbed by Bantu tribes as they migrated. By the 18th century, a Myeni-speaking kingdom known as the Kingdom of Orungu formed in Gabon. It was able to become a powerful trading center mainly due to its ability to purchase and sell slaves. The kingdom fell with the demise of the slave trade in the 1870s. Since its independence from France in 1960, the sovereign state of Gabon has had three presidents. In the early 1990s, Gabon introduced a multi-party system and a new democratic constitution that allowed for a more transparent electoral process and reformed many governmental institutions.
Abundant petroleum and foreign private investment have helped make Gabon one of the most prosperous countries in Sub-Saharan Africa, with the fifth highest HDI in the region (after Mauritius, Seychelles, Botswana and South Africa) and the fifth highest GDP per capita (PPP) in all of Africa (after Seychelles, Mauritius, Equatorial Guinea and Botswana). Its GDP grew by more than 6% per year from 2010 to 2012. However, because of inequality in income distribution, a significant proportion of the population remains poor.
Gabon is rich in folklore and mythology. "Raconteurs" keep traditions alive such as the mvett among the Fangs and the ingwala among the Nzebis. Gabon is also known for its masks, such as the n'goltang (Fang) and the reliquary figures of the Kota. Musically, Gabon boasts an array of folk styles, as well as pop stars like Patience Dabany and Annie-Flore Batchiellilys. Also known are guitarists like Georges Oyendze, La Rose Mbadou and Sylvain Avara, and the singer Oliver N'Goma. Gabonese folk instruments include the obala, the ngombi, the balafon and traditional drums.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Kiongozi wa kijeshi wa Gabon Jenerali Brice Oligui Nguema ametangaza nia ya kugombea uchaguzi ujao, April 2025

    Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangazia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao wa mwezi ujao (April, 2025). Nguema alishika madaraka mwaka 2023 kupitia mapinduzi ya kijeshi ambayo yalikomesha utawala wa muda mrefu wa familia ya Bongo. Wakati huo...
  2. B

    Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu

    Libreville, Gabon Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu, Nitawaua Nyote Mnaohusika na mgao wa umeme ... https://m.youtube.com/watch?v=aBdYmZ54h9A Rais wa Gabon , Jenerali Oligui Nguema ametishia kuua wale wote wanaohusika na mitambo ya kuzalisha umeme 14 mzalishe umeme bila mgao nchi nzima...
  3. Gabon: Benki ya Dunia yasitisha Mikopo na Ruzuku baada ya Serikali kushindwa kulipa Madeni ya awali

    Benki ya dunia imesimamisha haki ya Gabon kupewa mikopo na ruzuku kuanzia Julai 1 kutokana na kushindwa kulipa madeni yake ya zamani, barua ambayo Reuters imeiona imethibitisha hilo Jumatano. Taifa hilo la Afrika ya kati kwa sasa linalipa takriban mikopo 11 ya Benki ya dunia, kulingana na...
  4. Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia. Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
  5. Gabon ni Nchi tajiri kwa rasimali, ni Nchi ya tano kwa wingi wa mafuta Afrika

    Ameandika John heche, Afrika ina viongozi wengi wajinga mno. Na matokeo ya ujinga huo unaambukizwa mpaka kwa Wananchi. Gabon ni Nchi yenye kilometa za mraba 267,667 ina idadi ya watu milioni 2,349,000. Yaani hata mkoa wa Kagera una watu wengi kuliko wao. Gabon ni Nchi tajiri kwa rasimali ni...
  6. Gabon: Jenerali Brice Nguema akataa kulipwa Mshahara wa Urais, apunguza Posho za Wabunge

    Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya Mapinduzi yaliyomuondoa Ali Bongo. Msemaji wa Serikali amesema Jenerali Nguema...
  7. Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  8. Gabon Mtoto wa Ali Bongo ashtakiwa kwa Uhaini na Rushwa

    tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
  9. Gabon yasimamishwa Uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kutokea kwa Mapinduzi

    Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo. Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo. Jeshi lilimwondoa Bongo...
  10. Jenerali Brice Nguema: Viongozi wakiwaumiza Wananchi, Jeshi linapaswa kuwarudisia Uhuru na Utu wao

    Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za Adhabu na Katiba. Nguema amesema uamuzi wa kumuondoa Rais aliyekuwepo ulikuwa muhimu kwa manufaa ya...
  11. Kiongozi wa Mapinduzi wa Gabon kuapishwa Rais wa Mpito

    Generali Brice Oligui Nguema Jenerali huyo anatarajiwa kuapishwa leo, Septemba 14, 2023 ataapishwa kuwa Rais wa Mpito akichukua madaraka kwa muda usiojulikana baada ya kupindua Utawala wa Familia ya Bongo uliodumu kwa miaka 55 nchini humo Jenerali Brice Oligui Nguema, aliongoza Maapinduzi ya...
  12. Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  13. M

    Itawezekana kweli kiongozi mpya wa Gabon General Nguema kupinduliwa

    Mzuka Wanajamvi! Jitu kakamavu, limepanda hewani ana sura ngumu. Isitoshe ni jitu la mazoezi linahudhuria Gym kila siku na kabla ya kunyanyua vyuma linapiga push ep 100 iyo ni kupasha. Kwenye mkono yuko njema. Yuko vizuri kwenye martial anatembeza ngumi balaa. Ni msiri na mkimya sana. Pia ni...
  14. B

    Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  15. Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  16. Gabon: Jeshi lamtangaza Jen. Nguema kuwa Rais wa Mpito, alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais

    Haya kumekucha Gabon, Brice ambae ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais ndo kawa Rais. Kwa uchunguzi wangu ,huyu Nguema ni binamu wa Ali Bongo. Na Ali Bongo alimpa kazi maalum ya kumuandaa mtoto wa kwanza wa Ali Bongo anaeitwa Valentin ili aje kuwa Rais. Naona Brice kaamua, no way kwanini aandae...
  17. Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  18. Rais Ali Bongo wa Gabon aliasiliwa kutoka Nigeria, hakuwa mtoto wa damu wa Rais Omar Bongo

    Kumekuwa na utata mwingi kuhusu utaifa wa Rais wa Gabon wa sasa Ali Bongo Ondimba. Hapo awali wanasiasa nchini mwake walimtaka Rais huyo kuwasilisha kipimo cha DNA ili kuthibitisha kuwa kweli yeye ni mtoto wa marehemu Rais wa nchi hiyo Omar Bongo Ondimba. Inadaiwa Rais Ali Bongo Ondimba alikataa...
  19. Maajabu ya soka la Afrika: Guélor Kanga kukutana na kamati ya nidhau kuhusu sakata la umri wake

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
  20. Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

    Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…