Habari zenu wadau,
Natafuta patners wenye interest ya game development kwa kutumia unreal engine au unity tushirikiane katika mambo mbali mbali. Pia, kama unajifunza game dev kwa kutumia libraries kama Libgdx, jmonkey, SDL, SFML
Naomba tufahamiane nna mengi ya kuongea na wewe mdau wa Game...