Maisha ni safari ndefu, kila mmoja ana namna au njia ambayo huitumia kufika aendako.
Ila katika maisha haya, kila mmoja ana wakati ambao hukiri kuwa Kuna kitu kime mkubali.
👉Waswahili Wana sema kupatia, aidha iwe kazi, masomo, michezo, ndoa na hata biashara.
Katika nyakati hizo uta jiona wewe...