Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.
Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,
*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge...
Vilabu vikubwa vyenye hadhi Africa vimecheza siku ya leo michuano ya CAFCL.
FT:Kabyile 0-1 Esparance.
FT:Simba 1-0 Wydad AC.
Mechi zinazoendelea kuchezwa muda huu ni Al ahly Vs Raja Casablanca.
CR beoulzdad Vs Mamelody.
matokeo baada ya mechi zote kuchezwa👇
Safi sana.....
Watu ndo tunatoka Kazini asubuhi hii baada ya kukaa huko kwa siku 2. Ambazo ni ushindi wa bao 2 kwa Yanga. Na ustaadhi katuambia kuna bonus ikiwa tutafanya jambo moja zito zaidi. Tumewaacha jamaa waendelee.
Uhakika upo. Simba ni kama mti embe wa uwani. Unajichumia tu embe...
Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n Bora kuzd yote
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
Kwa wale mliowahi kucheza game za gta ety. Mpaka uwe unajua kiingereza ndio uliweze mission zake watu wanaisifia Sana hasa San Andreas, niliwahi jaribu kuidownload mwanzo tu nashindwa kujua niende wapi naona la mtu kamesimama tu.
Huyo ndiyo triple C Mwamba wa Lusaka, akionyesha vitu kwa vitendo.
Amesemekana sana ni mchezaji wa mechi ndogo. Ilivuka mipaka mpaka wachambuzi wa soka waliamua kuweka unazi na kumkosea heshima Mwamba.
Mwamba anasomeka kama mfungaji bora wa ligi, juzi tu hapa aliidhinishwa kama mchezaji bora...
Naombeni kujua hacks or any tricks za kushinda angalau kidogo zile casino games za parimatch. Hasa aviator na Ile balloon game na football game.
Any tricks kwa anaejua. Niplay vipi ili lile balloon lisipasuke lifike odds za juu au wale wa kwenye football game wasianguke waplay odds za juu...
Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee.
Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
Habari
Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS
Number one ni truckers of Europe 3 kutoka kwao Wanda software
Number mbili ni bus simulator 2023 kutoka kwao ovidiu pop
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi.
Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa...
Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna teaser(vionjo) vya kupima upepo kama wafanyavo wengine.
Anatoa kazi anaachia kazi.. kizuri chajiuza...
Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana.
Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia.
Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini anachokiona anapiga goti anatubu.
Ebwanaa eh Messi kama staring wa picha , anamaliza operation yake na...
Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa.
Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
TBC ni wahuni tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.