Kwa mtazamo wangu ile game ya Yanga na Namungo ilikuwa iishe bila kufungana, ninaamini hivyo kwasababu ukiangalia ile game utaona jinsi Namungo walivyokuwa tayari wamefanikiwa kuwazuia Yanga hadi walikuwa wameshaanza kupaniki na walikosa utulivu katika kushambulia.
Ikawaje Yanga kupata goli...
Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000.
Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys?
Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5?
Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
Habari.
Natafuta muongoza watalii mwenye uzoefu wa kuongoza hasa watalii wa ndani kwenye pori tengefu la Mpanga Kipengere niweze kupanga nae safari za utalii wa ndani kutoka mikoani. Whatsapp 0656388678
Wakulu habari
Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu).
Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana na pia graphics ziko poa, na fight zake ziko amazing sana.
Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!
*********** **************
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa...
Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia)
Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo.
Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr.
Azam kuna...
Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara.
Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani)
Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu...
GAME INAMDAI
INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob"
Mwamba kutoka Kiwalani alifanya kazi nyingi sana na Mika Mwamba, akapita kwa Majani, kwa D Money, kwa Villy Nice, kwa Master Jay, na kwa Producer Jonas.
Kutokana na sababu za kiimani, akaondoka angali GAME INAMDAI...
Huwa nashangaaga sana mtu kapigwa vizinga ama kazungushwa sana halafu siku ya siku dem kaamua au kabananishwa kutoa mzigo, Mtu anajisifia nimekamua sana nimemkomoa, hivi upo serious kabisa mwanamke alieanza mapenzi tangu kavunja ungo umekutana nae akiwa kwenye 20's unaweza kumkomoa kwa game ...
“Maandalizi yetu ni magumu hatujapata muda wa kutosha tumetumia muda mwingi kwenye recovery. Tunataka tutoe wito kwa wanaopanga ratiba, tunaliwakilisha Taifa tunaombea siku zijazo lisitokee tena”
FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters
Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa...
The lie game.
Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori 😀😀.
Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo.
Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi.
Mfano;-
"Nilipokuwa nasoma walimu waliniogopa kiasi kwamba wakitaka kuongea na mimi hunyoosha kwanza vidole😂😂"
Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua.
Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible
Ukichagua kumuua Michael , mission inaitwa Times Come
Ukichagua kuwaua wale watu unaohisi watawau mission inaitwa...
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.
Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.