Baraza ni lile lile, CCM ni ile ile, na hata wengine wanasema Mama Samia, ni wale wale! Lakini still ni early days.
Nafikiri Mama anahitaji muda wa ku-settle kwenye kile kiti, na taratiiibu atajenga system yake! Baada ya siku 100 ofisini, mama atakua mwenyekiti wa chama tayari, atakua amewapa...