gazeti la mwanahalisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Ni sahihi gazeti la mwanahalisi kufungiwa??

    Kusema NCHIMBI ngoma kujiuzulu? Walipwe fidia wafunguliwe ama inakaa vipi hivii wakuuu
  3. JamiiForums Tanzania MwanaHALISI lakataa uamuzi wa kusitishwa leseni kwa miezi sita

    Gazeti la MwanaHALISI linakiri kupokea barua kutoka Idara ya Habari – MAELEZO, ikimtaarifu Mhariri Mtendaji kuhusu uamuzi wa kusitisha leseni ya gazeti hilo kwa kipindi cha miezi sita, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Katika barua hiyo, Idara ya Habari – MAELEZO imeainisha hoja mbalimbali kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunakemea vikali kusitisha leseni ya Gazeti la Mwanahalisi

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekemea vikali uamuzi wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) wa kulifungia na kusitisha leseni ya gazeti la MwanaHALISI kwa kipindi cha miezi sita kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Uamuzi huo wa serikali ulikuja kufuatia taarifa...
  5. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunalaani Kusitishwa kwa Leseni ya Gazeti La Mwanahalisi, Hatua Hiyo Isitishwe Mara Moja

    ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
  6. JamiiForums Tanzania Leseni ya Gazeti la Mwanahalisi yasitishwa kwa miezi 6

    Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo ni kuwa Gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa miezi 6.
  7. JamiiForums Tanzania Leseni ya Gazeti la MwanaHALISI yasitishwa kwa Miezi Sita

    KUSITISHWA KWA LESENI YA GAZETI LA MWANAHALISI KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA (6) Idara ya Huduma za Habari (MAELEZO) inapenda kuujulisha Umma kuwa leseni ya gazeti la MwanaHALISI imesitishwa kwa miezi sita (6) kuanzia tarehe 19 Agosti, 2026 kutokana na kukiuka sharti la 3 katika Leseni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…