habari

  1. M

    Mchome ahofia nia ovu Chadema

    Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika Ameandika ktk X yake
  2. M

    Lema ndio afisa habari chadema? Jana Lema kaongea nini ?

    Lema ndio afisa habari chadema? Jana Lema kaongea nini ? Au kawatabisha tu media? Maana waandishi hata swala 1 hawakuuliza. Wapi umeona mkutano unakosa swala la waandishi?
  3. M

    Waandishi wa habari wamsusia LEMA? Wakata kumuuliza swali lolote

    Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA. Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event itafanyika kesho kutwa. Hakuna location , wala aim of event
  4. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  5. Afya ya papa Francs inaendelea kuwa mbaya

    HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua. Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini. Upungufu wake wa chembe...
  6. Z

    MWANAUME ANAPOOA NI LAZIMA KUZINGATIA UWEZO WA KIUCHUMI,,KIELIMU NA KIDINI KWA FAMILIA YA MWANAMKE ANAYEMUOA???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  7. Hizi habari zimenishangaza sana sikuwa nafahamu jambo hili

    ndo naambiwa kuwa huyu mchezaji ana asili ya Tanzania. Andendekyise Mwakikole na wanasema wazungu wakaamua kumuita Andy Cole. hayo nimeaambiwa leo nikiwa hapa Jangwani na wazee wangu wa Yanga wakinipa stories mbili tatu za michezo na wanamichezo. nikashangaa kuwa kuna mchezaji ambaye anachezea...
  8. Kwanini marefa hawahojiwi na waandishi wa habari baada ya mechi kuisha?

    Huwa naonaga baadhi ya wachezaji na makocha wakihojiwa na waandishi baada ya mechi kumalizika ila sijawahi kuona marefa wakihojiwa, ni kwanini?.....
  9. Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  10. C

    Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  11. Habari hii inafurahisha! Putin yuko tayari kuongea na Rais wa Ukraine

    Pia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi. Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita. Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kuwa umoja huo sio tishio kwa urusi.
  12. Matukio ya Kutisha na Habari za Ajabu na za Kushangaza Kuhusu Biblia

    Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea. Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
  13. T

    SI KWELI Msigwa amesema Tanzania inaongoza Afrika katika kuzalisha umeme

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  14. Waandishi wengi wa habari wanatakiwa kujibiwa kama huyu alivyojibiwa na Kally Ongala.

    Kila siku tunalalamika kuhusu waandishi wa habari za michezo nchini kukosa weledi wa kuuliza maswali Jana baada ya mechi Kocha wa KMC aliulizwa swali ambalo kocha huyo alijibu sawa sawa na muulizaji alivyo uliza.
  15. Mwandishi wa habari mwenye lafudhi ya Kihindi na broken English aumbuliwa na Trump!

    Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
  16. T

    Tatizo la kiuno kukaza na maumivu ya mgongo

    Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka maumivu ya mgongo. Sasa nilijaribu kwenda hospitali niliambiwa nina shida ya mawe kwenye figo ya kulia...
  17. Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  18. Putin & Trump wamejaa kwenye vichwa vya habari Leo!

    Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana. Matukio makubwa kama mkutano wa mawaziri wa ulinzi zaidi ya 30 wa nchi wanachama wa NATO, hotuba za viongizi wa nchi mbali mbali na maoni...
  19. J

    Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  20. Habari hii imenisikitisha sana

    Habari za kwenu Wana jamii.....!!! Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya mwisho yaliyo niacha na maswali kadhaa 1. Ni kweli kijana huyu mwenye umri mdogo, mke na mtoto Mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…