habari

  1. Deogratius Nsokolo ajiuzulu nafasi ya Urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)

    YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo tarehe 10 Novemba, 2024. Baada ya kupata uteuzi na kupata wadhifa ambao kuendelea na kazi yake ya urais...
  2. Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

    Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka...
  3. Usimshauri ndugu au rafiki asomee uandishi wa habari: ni sekta ambayo inaenda kufa na atateseka sana

    Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!! Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
  4. I

    Msaada: Dirisha la transfer vyuoni huwa linasogezwa mbele?

    Naombeni kuuluza, kama dirisha la transfer chuoni huwa linasogezwa? Au kama kuna uwezekano wa kusogezwa?
  5. Kama ndoa ndio hii basi imenishinda

    Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu anakuja hata mara mbili kwa mwezi na akija anakuja nikiwa kwenye siku za kike kwasababu anajua mzunguko...
  6. R

    LGE2024 Hakuna Chombo cha Habari hata kimoja kilichohojiana na Mgombea aliyeenguliwa

    Katika hali isiyo ya kawaida vyombo vya habari za Tanzania vimeripoti malalamiko ya Vyama vya upinzani kuhusu kuengeliwa kwa wagombea wao lakini hakuna chombo kilichothubutu kuhoji wagombea husika. Wagombea waliopitishwa wanajulikana na wagombea waliokatwa majina yao sambamba na sababu za...
  7. Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  8. I

    Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science

    Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira Naombeni mawazo ya kistaarabu wakuu na mbarikiwe🙏🙏
  9. M

    Vyombo vya habari vijifunze kutokuwa na upendeleo: ona sasa walimdanganya Kamala H

    Ndugu zangu waandishi wa habari TZ, Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo. Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap kiupendeleo kwa kudanganya kuwa Kamala anaelekea kushinda lakini tuliyoshuhudia kuanzia asubuhi ni...
  10. D

    Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  11. Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM. Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya...
  12. Android tv box yenye channel zote za michezo habari na burudani..

    Nauza android tv box yenye iptv account, Unapata channel zote zaidi ya 9000+ premium kuanzia super sport, canal sport, na bein sport, channel za watoto habari na music zote live mechi zote live ligi zote kubwa.. Movies na series zaidi ya 30,000+ kwa kutumia wifi internet yako hapo home au...
  13. Je tutalajie yapi baada ya ushindi wa Trump huko USA

    Habari za Sasa hivi wakuu? Hatimaye baada ya kusubiliwa kwa mda mlefu leo hii Trump kachukua kiti na sio mda anaingia kulitumikia taifa kubwa zaidi duniani hasa kwenye maswala ya uchumi, technologies, bilashaka taifa Hilo ndilo taifa linalo ikimbiza dunia kwa nafasi kubwa Sana kiasi kwamba...
  14. Waandishi wana njaa mnategemea wataacha kuwa makanjanja na mchawa? Walipeni muone kama watalamba miguu yenu

    Wakuu habari yenu Kuna jambo ameongea Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akitahadharisha kuhusu athari ya teknolojia katika tasnia ya habari nchini, akisema inaweza kusababisha kuibuka kwa watu wasio na ujuzi wa kitaaluma "makanjanja" wanaoeneza taarifa za propaganda...
  15. IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

    Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo limesema, Abu Ali Rida, kamanda wa Hezbollah kwenye eneo la Baraachit, kusini mwa Lebanon "ameuawa" katika shambulizi la anga. Jeshi la Israel limesema Rida alikuwa akiongoza shughuli za kigaidi ikiwa ni pamoja na kupanga mashambulizi yaliyowalenga wanajeshi na...
  16. Nyundo na wenzie wako gereza gani tukawatembelee?

    Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana. Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi! Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
  17. Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  18. Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  19. I

    Msaada: Inachukua muda gani kuingiziwa pesa ya mkopo baada ya kuripoti chuoni?

    Habari wakuu, naombeni kuuliza; Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje? Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
  20. I

    Naweza kupata vifaa hivi vya kuunda mabegi?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…