hezbollah

  1. Mlaleo

    Bomu Jipya GBU-72 lililongusha majengo ya Hezbollah ni Jipya, lingine pia lipo njiani kufumua mahandaki yenye hazina ya Silaha. maeneo hayo hayo

    New ‘bunker buster’ bombs used in Beirut attack Bomu limeetoa moshi wa rangi ya Chocolate - This is why Iran hataki War na Israel anawatumui Arabs wajinga wake. Bomu hilo halijawahi tumika kabla kilo 2,200 lilianza kuundwa Mwaka 2021 Elijah Magnier, a military analyst, says the ordnance used...
  2. G

    Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

    Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake. Hezbollah...
  3. R

    Commander mkuu wa Hezbollah kikosi Cha drone auawa

    Anaitwa Mohammed hussain srur, chief commander wa drone wa Hezbollah. Kauwawa na jeshi la anga la Israel. https://youtu.be/NLnHLkpYehk?si=IK1JJeqw15j168Px https://www.dw.com/sw/israel-yafanya-mashambulizi-mapya-nchini-lebanon/a-70342374 https://youtu.be/eoHMlraouQ0?si=izqhjMv6KF2h5drt
  4. R

    Hezbollah yarusha kombora la masafa marefu linalolenga makao makuu ya Mossad karibu na Tel Aviv

    Leo Jumatano, kundi la Hezbollah limesema kuwa ilirusha kombora la masafa marefu lililolenga makao makuu ya shirika la ujasusi la Israeli, Mossad, karibu na Tel Aviv. Hii ni mara ya kwanza kundi hilo kudai shambulio la kombora la masafa marefu tangu kuanza kwa mapambano yake ya karibu mwaka...
  5. Ritz

    Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

    Wanaukumbi, "Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo. Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe. Ondoka kwa maeneo salama...
  6. escapee

    Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

    At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday. Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks...
  7. U

    Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

    News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika shambulio, huku watu wapatao 560 wakiwa wameuawa tangu mgogoro ulipozidi; Mwana jeshi wa akiba wa...
  8. G

    Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

    INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN Rest in Peace aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon. Ni baada ya Mossad kupata intelejensia sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi, wakazifowadi...
  9. Eli Cohen

    Eti Iran anamshutumu Israel kwa kushinikiza machafuko zaidi utafikiri alimuomba hezbollah amchokoze. Yani unachezea moto alafu unalalamika unaangua.

    Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao. Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata kama unawashinda watataka ushinde wanavyotaka wao. Unasema unapigana na Israel kuitafutia haki...
  10. Pdidy

    Hizi pesa za silaha za vita palestina israel hezbollah zinatokea wapi jamani aisee

    Nikijaribu kuangalia Sudan Wanavyomalizana Congo wanavyomalizana Ethiopia wanavyomalizia Kule Chad nako wameanza kumalizana Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia Nirejee Israel vs Palestine gaza na sasa vs Lebanon na wa hesbollah Nawaza ty hizi silaah zote zinatokea wapi...
  11. Ritz

    Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

    Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi. Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia kwenye makazi. Ripoti za awali za roketi zilizoanguka karibu na eneo la Chuo Kikuu cha Haifa na eneo...
  12. Beira Boy

    Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani Mbona wanawaumiza walebanon Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je...
  13. Messenger RNA

    Hezbollah yamzika kamanda aliyeuawa katika shambulio la Israel huku mzozo ukiongezeka

    Tunakuletea sasa taarifa kutoka kwa mazishi ya kamanda mkuu wa Hezbollah, Ibrahim Aqil. Aliuawa katika shambulizi la Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa. Shambulio hilo liliashiria kuongezeka kwa awamu ya sasa ya mzozo wa Israel-Hezbollah, ulioanza tarehe 8 Oktoba. Hivi...
  14. U

    Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
  15. MK254

    Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

    Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah.... ============================= Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
  16. P

    Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

    Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon. Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
  17. Morning_star

    Israel imewarejesha enzi za ujima magaidi wa Hezbollah

    Hezbollah sasa hivi wamelazimishwa wasitumie tena simu za mkononi! Daah! Sasa wataishije?
  18. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  19. M

    Iran na Hezbollah wamegundua teknolojia mpya ya Mawasiliano ambayo Israel kamwe haitawadukua tena.

  20. G

    Hezbollah waliogopa matumizi ya simu kwa hofu ya Israel kuhack mawasiliano, vifaa mbadala waliuziwa na Israel bila kujua, wamestuka baada ya shambulio

    Baada ya kuona Israel ina uwezo mkubwa wa kudukua mawasiliano ya simu, Hezbollah walichofanya ni kufikia uamuzi wa kununua vifaa maarufu vilivyotumika miaka ya 90 vinavyoitwa "pagers", vinatumia mawimbi wa redio badala ya minara ya simu au internet. Wasilojua ni kwamba walikuwa wamefanya kosa...
Back
Top Bottom