ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wachawi hawawezi ingia strong room ya benki wakachote pesa ila wanakufuatilia wewe unaelala na madumu ya maji, mandoo na gesi chumbani kimoja

    Waturutumbi jibuni maswali simple Kwanini mnawaonea sana watu wenye uchumi wa mandoo ndoo.
  2. JamiiForums Tanzania Unapendwa Kuliko unavyodhani, unapendwa jinsi ulivyo ila shidaa ni...

    Shida: Sote tumetenda dhambi. Dhambi inatutenga na Mungu na kuleta uharibifu maishani mwetu. Suluhisho: Mungu anatupenda. Alimtuma Yesu Kristo aliyekufa msalabani kulipa deni la dhambi zetu na akafufuka ili kutupa ushindi. Wito: Wokovu ni zawadi ya bure. Ukiamua kuacha njia zako za kale na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mdada ambae unaona yupo na wewe kimwili, ila kimoyo hayupo na wewe?

    Habarini, Unakuwa kwenye relationship na mdada, ila unahisi uko lonely kwenye hio relationship, papuchi unapewa, ila ukiongea na huyo mdada unaona kabisa kwenye maono ya kimaisha ya huyo mdada, wewe mwanaume haupo. Unaona kabisa hapa unapewa papuchi kwasababu yupo desperate kipesa, ila angekua...
  4. JamiiForums Tanzania Akifanya hivi mzungu mtasema "waoh, delicious", ila mimi wa majohe mtaniandikia "tafuta hela wewe"

  5. F

    JamiiForums Tanzania Hili linafikirisha, waliopoteza ndugu zao wanailaumu Serikali Kwa mauwaji, ila Lema na CCM wanaungana kumlaumu Mange,stuka!

    Wenye akili wana msemo usemao "Za kuambiwa changanya na zako". Lema anajaribu kumrudisha Mbowe chamani ili aturudishe Misri kule kwenye siasa za wanamtandao, Yani Rimoti iko msoga inaendesha Ferry,Lumumba na Ufipa Kwa wakati mmoja . Lema una uchungu upi Kwa waliouwawa ilhali uliomba mwenyewe...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utawala ambao ungesahaulika ghafla na usikumbukwe kabisa, ni huu wa Samia, ila kwa sababu ya mauwaji, utakumbukwa kwa ukatili huo!

    TANZANIA tulipoanza kudai maendeleo katika nchi yetu, tulionjeshwa kidogo namna ya kuyaleta hayo maendeleo na yenye uchungu ndani yake, tulipewa brudoza, tingatinga, ambalo halikujali chochote chenye kutia hasara na ama kitacholeta uchungu badaye, Bali ilikuwa wengine wote wakae kimya, brudoza...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta series ambayo ni season moja complete ila kali sana

    Natafuta series ambayo ni season 1 complete alafu iwe kali. Pls i do need your suggestions
  9. JamiiForums Tanzania Nimewaza sana ila huu ndio ukweli.

    1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu. 2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu. 3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulinunua kutokana na Presha ya ndugu na marafiki ila baadae ukajikuta hukitumii kabisa?

    Mimi najuta kabisa kununua TV. Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda...
  11. JamiiForums Tanzania Usipojali wanaokuzunguka sahau mafanikio

    Moja ya kitu kikubwa nilicho jifunza mwaka huu ni kuacha kujijumuisha na watu wasio na mtazamo wangu, hasa katika life goals. Nimejikuta sina rafiki, ila watu wote walikuwa kwenye maisha yangu walikuwa kama distractions tu. Unajua kuwa you are the average of 5 people you sorround yourself...
  12. JamiiForums Tanzania Ila Watanzania kwa kususa aisee😁, ile kampeni ya yule miss ni kama hamna kitu kilitokea, ishasahaurika and nobody gave a damn about it!

    Watanzania wa 2026 sio wa 2006.
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria. Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake. Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  15. JamiiForums Tanzania Chawa mmoja aligundua boss anaruka na mke wake, ila hakufanya chochote maana alipiga mahesabu kuwa yeye mwenyewe ni mvivu na upambe ndio ugali wake

    Kwa heshima na taadhima ya JF haipaswi kutaja watu humu Ila uchawa ni choice. Na vitu unavyopaswa kuvifanya ili udumu katika fani ya uchawa ni KUPIGA CHINI UTASHI WAKO, KUPIGA CHINI UTU WAKO NA KUKUBALI KUWA MTUMWA.
  16. O

    JamiiForums Tanzania Ila sasa kwanini picha imechorwa hii

    Ukubwa wa makalio hauhusiani na uwezo wa kufikiri, akili au tabia ya mwanamke. Ubongo upo kichwani, na ukubwa wa matako hauonyeshi kiwango cha akili ya mwanamke. Kama ukiilenga tabia badala ya maumbile, Basi ni kweli wanawake wengi wenye matako makubwa wanajivunia mwonekano wa nje kiasi cha...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha ni wajanja sana wakiwa kwao ila wakitoka nje ya mkoa wao wanakua kama kondoo

    hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee. ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi. nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
  18. JamiiForums Tanzania Uwezi niamini ila iko hivi wapinzani wa Freeman mbowe wote watapewa kesi za uhaini

    Najua uwezi niamini ila ndio iko hivyo, wapinzani wa Freeman Samila suluhu Hassani wote watapewa kesi za uhaini kuanzia tundu Lisu,Heche na wale vijana wote waliompinga mbowe note my word.niko hapa sifi leo nasikiliza mziki wa injili kupitia star tivi hahahaha
  19. J

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kuhusu Makosa katika Transcript ya Mhitimu wa Chuo cha Afya

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa. Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…