Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.
Nilisha wahi kuwaza kutoweka
Kuna kipindi hata kuiona kesho ilikuwa jambo la kheri, maana nilitamani nikienda kulala nisiamke kabisa.
Nikiona watu wanaishi as if hakuna shida nawaonea huruma na kuwaombea asije pitia niliyo ya pitia maana wasingeweza kutoka.
Kuna watu wana tembea ila huwezi...
Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote.
Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.
Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija
Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe.
Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa.
Baada...
Wanabodi,
Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day.
https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k
Karibuni Tufuatilie,
Mzee Pasco
Rejea;
Hili la Vijana wa Chama...
Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani.
Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku.
Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi.
Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
Hellow wana JF.
Ukitazama kwa umakini katika hii Dunia ya sasa watu wengi wanakula ila hawalimi. Hata wasomi wengi walio somea kilimo wanataka kukaa maofisini kwenye kiyoyozi na feni zenye upepo mzuri hawataki kabisa kujihusisha na kilimo.
Ukizunguka kwenye mashule na mavyuo mbalimbali...
Mnacheza mpira mtamu sana , ila haya majamaa yamekuja na game yao ya mpira matokeo, msipo kuwa makini na hii tunaenda kusema chenga tumewala lakini 😅😅
Viva simba hakika mnatoa burudani ya wapenda mpira mzuri, sex and romantic kwa wakati mmoja.
Simba nguvu moja🍻💪
Tumeona kwa mbowe na CHADEMA.
Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali.
Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz.
Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
1. Saddam Hussein
2. Osama Bin Laden
3. Muamar Ghadafi
Hawa watu walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watoto wadogo, watu wazima na wanawake. Wakiwashawishi wajitoe mhanga. Wafe kwa ajili yao
Nlitegemea wao wangeonesha mfano kuliko wale wawili kukubali kukamatwa au kuuawa na makafiri na huyu...
Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
Hello bosses and roses
Leo nimeona niandike kuhusu hili swala sababu nasikia wengi wakilalamika, sio majumbani, sio makazini.
Hivi je ulishajisikia ile hali kwamba hauumwi ugonjwa wowote ule ila:-
1. Hauna hamu ya kufanya chochote kile
2. Mda wote unajisikia umechoka, yaani kila siku almost...
Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake.
Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio...
Inachukulia hatma yako alafu inafungwa kisawa sawa na kunenewa na inatupwa ziwani.
Kinachofatia ni wewe kuona cha mtema kuni maisha yako yote.
Nafikiri wakazi wa majita na ukerewe wanaelewa nachokimaanisha na kina uzito gani.
NIWATAKIE MEMA KATIKA NJIA ZENU.
Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia.
Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
Hayo ndiyo maneno yaliyoandikwa ukutani na Walter Kipkoech, mwenye umri wa miaka 23, ambaye ni mshukiwa wa mauaji. Aliandika ujumbe huo kwa kutumia damu ya mpenzi wake wa miaka 18, Joy Wangui, ambaye alikuwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne.
Walter anadaiwa kumuua kikatili na kumkata kichwa Joy...
Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia.
Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka.
Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi...
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!
Wamepanga lazima wamkute na hatia.
Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.
Option 2 - Ahukumiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.