iliyokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi wa nchi za kiarabu kumwambia Trump hatutaki kumezidi kuivunjia heshima Marekani iliyokuwa taifa kubwa

    Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani. Tukio la hapo juzi lina sura kama ndio mara ya mwanzo kwa mataifa hayo kupingana na mipango inayotoka nchi za...
  2. Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  3. Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege

    Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea kuimarishwa kwa kuongeza idadi ya ndege hadi kufikia 16 na idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga...
  4. M

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

    Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli. Leo katika press conference ya Lema...
  5.  DAWASA: Chemba ya maji taka iliyokuwa inamwaga maji ya taka Ilala sokoni, imetengenezwa

    DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni. Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
  6. Ndege ya Assad Yapigwa na Kombora la S-300 la Urusi

    Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus. Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa. Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
  7. Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

    Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
  8. Aliko Dangote ajutia kutoinunua Arsenal iliyokuwa inathamani ya dola bilioni 2, sasa ni dola bilioni 4

    Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni dola bilioni 2 tofauti na sasa ni $4 bilioni. Dangote alifichua kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya...
  9. Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

    Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
  10. DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  11. Nadhani sasa tunaanza Kuelewana kuwa Awamu iliyokuwa Ikiteka na Kutesa haikuwa tu ya 5 bali ilianzia ya 4 na sasa ya 6 inadumisha hasa

    Na kuna sehemu nyingine ya Tanzania nasikia huko ndiko balaa, ila kwakuwa ana Nyota ya Kupendwa tunafichwa tu.
  12. Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  13. Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  14. Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

    Habari wana jamii forum? Kuanzia miaka ya elfu mbili kushuka chini, eneo la Mbezi beach lilikuwa ni kati ya maeneo machache ya jiji la Dar es salaam ambayo yalikuwa na umaarufu mkubwa kama vile ilivyokuwa Masaki, Osterbay, Sinza nk. Hii ilipelekea watu wengi hasa wa mikoani wakisikia neno...
  15. L

    CHADEMA haiji kupata tena nguvu ya ushawishi kama iliyokuwa nayo kabla ya Uchaguzi wa 2015

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika uchaguzi ule utabaki katika historia ya wengi sana,utabaki kama ukumbusho wa kilele cha mafanikio ambayo upinzani ulikuwa umefikia katika kuteka mioyo ya watu,ulikuwa ni wakati ambao upinzani ulikuwa hata ukitangaza asubuhi kuwa mchana kutakuwa na mkutano watu...
  16. A

    Kampuni ya 'Go bet' ni matapeli sana kuweni makini

    Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na...
  17. Luna-25 ya Urusi iliyokuwa ikielekea Mwezini imeanguka

    Luna-25 ni jaribio la Urusi kutua kwenye mwezi lililoshindwa. Jaribio hilo la kutua lililenga eneo la south pole mnamo Agosti 20. Hata hivyo, kutokana na sababu za kiufundi, kutua kwa chombo hicho kulikwama na kusababisha kushindwa kwa lengo hilo. Hii ilikuwa ni hatua muhimu katika juhudi za...
  18. M

    Yanga ikiwa kwenye top form imefungwa ni Simba iliyokuwa kwenye low form: Simba ikirudi kwenye top form, Yanga wahesabu maumivu zidi!

    Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
  19. Baada ya Zougrana aliyekuwa Kaandaliwa Jezi Namba 6 iliyokuwa ikipambwa Kuwatosa aliyelazimishwa Kuivaa Skudu awaumbua

    "Kiukweli sijawahi kuvaa Jezi Namba Sita ( 6 ) na siipendi pia na hata katika Timu zote nilizocheza huwa navaa Jezi yangu pendwa namba Kumi na Moja ( 11 )" "Kilichotokea nilipigiwa Simu na Rais wa Yanga SC Hersi Said na Kuniomba nikubali Kuvaa Jezi namba Sita waliyokuwa Wakiipromoti na...
  20. R

    Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

    By MMM Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh. Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete. cae no. ICSID No. ARB/17/33 Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…