Sielewi nianzie wapi sielewi nimalizie wapi, kwakifupi kamwe usimwamini mwanamke (Mke au Mpenzi) usimwamini hata kwa %0.5.
Ipo hivi, nimeishi na mke wangu miaka 3 sasa sijawahi kumtilia shaka(kuhusu kuchepuka), sijawahi kuona kasimama na mwanaume yeyote hata kwa_bahati mbaya, sijawahi kuona...