Kimbunga Amphan chaua watu 84 nchini India na Bangladesh
Kulingana na ripoti rasmi iliyotangaza Alhamisi hii, Mei 21, nchini India, "watu 72 wamefariki dunia, ikiwa ni pamoja 15 huko Calcutta," Waziri Mkuu Mamata Barnerjee amewaambia waandishi wa habari.
Upande wa Bangladesh, polisi na maafisa...