Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi, bado China na Iran, sema kwa China mnufaika wa hivi vita itaendelea kuomba visiishe.
Iran haiwezi kubadilisha msimamo...