INDIA: Takriban watu 22 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa vibaya baada ya Basi kutumbukia kwenye korongo eneo la Uttarkashi, Ukanda wa Kaskazini mwa Nchi hiyo. Basi hilo lilikuwa na watu 30, na mmoja bado hajulikani alipo
Kwa mujibu wa Serikali ya India, inakadiriwa watu 150,000 hufariki...