internet

  1. M

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  2. Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  3. Kwanini awamu hii Vifurushi vya Internet vimekuwa juu kuliko huko nyuma?

    Zamani ukijiunga dakika unakula na MB 500 au hata GB 1. Offer nyingi zilikuwa zinaenda sanjari Dakika na Vifurushi ya Internet. Sasa imekuwa tofauti kabisa. Eti Tsh. 1000 ukicheza kama hujui kuifukua menu ya Vifurushi unaweza kununua MB 100. Nini kimetokea?
  4. Why does Kenya lie on number of internet subscribers?

    For the past 4 months Tanzania has witnessed two of her sons i.e. Diamond Platnumz and Millard Ayo clocking 1 bln views on youtube and one wonders why has Kenya not achieved that success? Going by the number of arguments i have put foward before that Tanzania with a broader fiber optic covarage...
  5. Msaada kuset internet kwenye LG V20U

    Nimenunua simu LG V20 natumia line ya halotel 4G nimeset Access Point zile ikakubali ina browse internet fresh youtube unaangalia vizuri na app ya jamii forum inafanya kazi ila tatizo haitumi picha wala txt za whatsapp facebook telegram na Twitter pinterest hazirefresh ilivoload siku ya kwanza...
  6. M

    Je, wajua kuwa idadi ya wapiga kura nchini inakaribiana sana na idadi ya watu wenye kutumia mtandao (internet)?

    Kuna watu wanazibeza takwimu zinazotolewa mitandaoni. Takwimu ambazo nyingi kila mara zinaonyesha kuwa Tundu Lissu anamshinda Magufuli. Binafsi ninaweza kusema kuwa hizi takwimu (polls) zinaweza kuwa credible (zenye kuaminika) zaidi nyakati hizi za sasa kuliko baadhi ya watu wanavyodhani na...
  7. J

    Internet halotel ni zero

    Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
  8. Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

    Wakuu Igweeeee! Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje? Au fikiria hivi, umefungiwa ndani...
  9. D

    Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

    Naombeni msaada wadau, Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
  10. L

    INAUZWA Internet router zinauzwa 40000/=

    Habari wadau, nauza 3G router za internet AINA YA ROUTER: D-Link DWR-730 SPECIFICATIONS Integrated SIM card slot HSPA+ with up to 21.6 Mbps download Up to 5 hours battery life microsD card for storage expansion Wireless N150 (150 Mbps on 2.4 GHz BEI : 40000/= Tsh kwa rejareja, 30000/= Tsh kwa...
  11. Naona Internet speed imeshuka ghafla

    Speed ya Internet sijalielewa tangu jana iko low, kuna nini?. WhatsApp video na picha haziendi, instagram haifunguki.
  12. How the Internet Travels Across Oceans

    ‘People think that data is in the cloud, but it’s not. It’s in the ocean.’ How the Internet Travels Across Oceans The internet consists of tiny bits of code that move around the world, traveling along wires as thin as a strand of hair strung across the ocean floor. The data zips from New...
  13. M

    Zama hizi za Internet, serikali kuminya uhuru wa taarifa ni kujidanganya

    Kwa mujibu wa Taarifa za TCRA ambazo zimenukuliwa katika mtandao maarufu wa Wikipaedia, idadi ya Watanzania wenye kumiliki vyombo vya mawasilaino kwa maana ya Simu ni milioni 43.5 kati ya wananchi milioni 53.8 Hii inamaanisha kuwa takriban asilimia 80.8 ya wananchi wanaweza kupashana habari na...
  14. TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  15. K

    Betty takes photo with politician and stirs the internet

    Betty Kyallo stepped out with Alinur for the much anticipated FA Cup final between Arsenal and Chelsea. Betty broke the internet earlier in the day as she adorned Chelsea colors. Netizens could not keep calm and they took sides on who would come out on top between the two teams. Her fellow...
  16. Ni GB za ngapi za Internet ushatumia kwa mwezi uliopita(June)? Share hapa

    Hello wakuu hii post ni mahususi kwa ajili ya kushare screenshot za matumizi yetu ya vifurushi vya internet kwa mwezi unaoisha (mwezi wa 6) Labda kupitia hii post watu wa makampuni ya simu waliopo humu Jamiiforums wakipitia post hii na kuona matumiz ya wateja wao kwa upande wa data ni makubwa...
  17. Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

    Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
  18. Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming. 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)
  19. Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

    Habari yako, PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8. Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
  20. C

    Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…