Hawa jamaa wa Starlink wanasema mwakani wanaingia Tanzania. Gharama zao zipo namna. Kununua ungo na router na cables ni dola 500 hadi 600. Kama wastani wa 1.3 za kitanzania. Lakini lengo ni watashusha hadi nusu ya hiyo bei.
Malipo kwa mwezi ni dola 100. Karibu 240,000 kwa mwezi. Internet...