iphone

  1. Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

    Habari JF, Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta. Hapa shida ni nini?
  2. Phone4Sale Iphone 6s 128 gb inauzwa

    Ipo kipawa uwanja wa ndege price 400k haina tatizo lolote.
  3. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  4. A

    INAUZWA Original earphone za iphone zinauzwa

    used from japan 100% origanal deep base and best high quality dont pay before test warranty 1 year retail price 33,000 from 3 peace 27,000 wholesale delivery is free across town area call 0652472486
  5. Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

    Hello my jf friends[emoji112] hii ni thread yangu ya kwanza nabandika hapa jukwaani lakini sio kwamba niko expert sana kwenye haya mambo ila ni passion tu ndo inanisukuma pia napenda kushare kama nilivyojitambulisha kule kwenye jukwaa la wageni niko na hobby zingine mbalimbali hivyo mtalajie...
  6. Iphone 8 plus inahitajika

    Habari wapendwa, nahitaji Iphone 8 plus.. kubwa iwe kuanzia gb128
  7. Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
  8. Phone4Sale Iphone 7 plus Mpya

    New Iphone 7 Plus 32Gb Full boxed and Sealed Tsh 470,000/- call/whatsapp 0673775527
  9. Phone4Sale Iphone 7 plain NIPE OFA

    32Gb new full boxed
  10. Phone4Sale Iphone 7 plain NIPE OFA

    32Gb new full boxed
  11. Phone4Sale iPhone 11 plain inauzwa 900,0000

    Simu inauzwa Laki 9 Brand ni Iphone11 plain Ni mpya imetumika miezi 2 tu! Mahali ilipo ni Mbezi Mwisho Dar es Salaam Mawasiliano - 0688986066
  12. Phone4Sale iPhone 8+ GB 64 inauzwa. Used for 3 moon only

    Imetumika miezi mitatu tu Gb 64 Afya ya Betrii: 100% bei elekezi: 600,000 0713096076, Chamanzi, Dar es salaam
  13. T

    Tatizo la Apple ni moja, mtu mwenye Iphone 11 na Iphone 13 hawana tofauti.

    Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi. Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone...
  14. Msaada: Unaifunguaje iPhone inayohitaji Activation Lock?

    Wana JF naomba mwenye kujua. Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock? Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana. Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye...
  15. Phone4Sale Iphone 6s 128 GB

    Iphone 6s Storage: 128GB Touch id ✅ Battery 💯 Ios 15.4 Perfect condition Price 300,000 Location Mbeya INAUZWA
  16. NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  17. D

    Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

    Wakuu naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa. Pia nasikia kwa Zanzibari bei zinakuwa kidogo nafuu naomba pia mwenye kujua nilinganishe. Asanteni
  18. Phone4Sale Iphone 6s gb 128, iko Mbezi

    Iphone 6s storage gb 128 battery health 100% Support 4G LTE ina kreki kidogo kwenye upande wa camera ya mbele, haina madhara bei, 320,000 mbezi kimara, Dar. 0713096076 DEADLINE: 5.3.2022 USIPIGE SIMU KUULIZIA BAADA YA HIO TAREHE
  19. Phone4Sale iPhone Bei ya nyanya

    iPhone 6s 64Gb Battery 100% Fingerprint ✓ Camera ✓ Charger ✓ Cover✓ BEI : fixed 150k tuu LOCATION: KIMARA MWISHO 0757402662
  20. Msaada wa kiufundi kwenye iPhone 7

    Habari Kwenye iphone kuna kitu kinaitwa switch control sasa kimetokea na sasa simu imeshaji lock nahitaji kuingia kwa passcode ila nashindwa ukitaka kuanza kuandika passcode tu inatokea mistari ya blue kama inavyoonekana hapo chini imezunguka passcode na nikubonyeza namba ina pop up kitu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…