jaji mwambegele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jaji Mwambegele umeshusha hadhi ya Ujaji na tume yako ya Uchaguzi-Jaji Warioba asema matokeo ya uchaguzi ni FAKE!

    Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI. Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu. Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Mwambegele ameuweka rehani ujaji wake kwa uchaguzi wa kupikwa!

    Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda. Simply put, Uongo ni dhambi. Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii. Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kura za Maruhani zikitengenezwa. Jaji Mwambegele, hiki ndo mnawatangazia watanzania?

    Nilikuwa namheshimu sana Jaji huyu, lakini ndo anabariki hiki?
  4. JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za Makazi, Mali na Familia za Jaji Mwambegele na Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi atusaidie

    Mwenye taarifa za makazi yao, ndugu zao, familia zao kama mke na watoto au wazazi na mali zao hawa watu wawili atusaidie tukawasalimie
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mwambegele: Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu msipokee maagizo ya nje ya tume

    Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi Mkuu ngazi ya Kata wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, bila kupokea au kutekeleza maagizo kutoka nje ya Tume hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 5, 2025 na Mwenyekiti wa Tume Huru ya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mwambegele: Kura ya Mapema kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 itapigwa Zanzibar pekee

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema: “Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mwambegele kuzungumza na vyombo vya Habari, leo Mei 12, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, Mei 12, 2025 atazungumza na Vyombo vya Habari. Ngoja tusikie atasema nini. Je, ni kuhusu CHADEMA kujitoa, Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, mgawanyo wa majimbo au nao wameikubali no reforms no...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti INEC: Tafsiri ya mwisho kuhusu Chadema kushiriki uchaguzi ni ya Mahakama

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…